Tatizo hili linaweza kutokea kwa sababu mbalimbali.mfano punyeto, pressure ya damu ni ndogo yani haizunguzi ipasavyo namaanisha damu ndo inafanya uume usimame kwahiyo ikiwa mishipa yako ya uume haipitishi damu vizuri basi uume hautosimama ,pia wenge hapa namaanisha unakuwa unasimamisha sana ukiwa peke yako hasa unapotaka kukutana na mpenzi wako lakini akishafika unakosa nguvu sababu nguvu nyingi ulizitumia kusimamisha ukiwa peke yako, pia kutazama pono hii ina madhara sana ktk afya ya uume wako,kingine kulithi huenda kuna ndugu yako alikuwa na ugonjwa huu. Nakushauli kwanza usikate tamaa utapona, hivyo Fanya mazoezi ya mwili pia ya uume wako yani hata ukiwa umekaa unaweza kufanya mazoezi ya uume wako uwe unafanya Mara 60 kwa siku yani unabana unaachia msuri ya uume wako,pia ukiwa unakojoa epuka kupana mkojo kwa mkono wako yani usishike uume ukaubana ili mkojo usitoke badala yake tumia misuri ya uume wako kubana mkojo.kwahyo unapokojoa usikojoe mfululizo .kojoa huku unabana mkojo kwa kutumia misuri yako . kingine tafuta mti unaitwa mrongeronge kila asubuhi kabla hujala tafuna vitinda vyake 5 kwa siku. Kingine jiamini .utanikumbuka