Tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo

Tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had machoziii, nimekumbuka mkaka m1 hv,
Aseeeeh polee sana, lol
 
Inaonekana una mchango bwana mdogo, dalili ya huo mchango ni:-
1. Tumbo la chini kuunguruma mara tu unapotaka kufanya tendo.

2. Korodani kurudi ndani au kuonekana zikijongea.
3. Kuhisi maumivu chini ya kitovu.

Nb: Kama una dalili kama hizo tafuta dawa ya mchango. Hospital hawana tiba.
Mbna unachozungumzia ni tofauti na tatizo la mtoa mada.
 
Pole sana kijana kama umeenda hospital na umeambiwa huna shida ya minor, U.T.I sugu, stress nk ngoja nikwambie sasa tafuta samaki aina ya kambale yule aliyevuliwa bado mzima ambaye ukimrudisha kwenye maji anaendelea kuishi sawa

Chukua uyo samaki mchanje atoe damu kisha na wewe jichanje sehemu ya uume wako utoe tamu kisha chukua ile damu ya kambale paka pale kwenye uume wako ulipochanja yani damu ya kambale ikutane na damu yako kisha paka chumvi kisha mrudishe uyo samaki kwenye maji aende zake in two days mnara unamka
Ushirikina huu...

Je huyo samaki akivuliwa na kuliwa siku hiyo hiyo ?
 
Mwili hauna nguvu,kula vyakula vya kujenga mwili na fanya mazoezi ya kuuchosha mwili...Mawora kama yote uwe unakunywa.
 
Dah kumbe tuko wengi ila kwa mimi nimepitia sana michezo michafu ya kupiga nyeto yaani kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha nne sikuwahi kutomba hata mara moja… miaka minne kila wikiendi na jichuaa !!… nilikuja kuonja **** tena kwa kupewa na kulazimishwa sana na yule manzi… nikapiga kimmoja niasepa..

Sasa mimi sio kwamba haisimami, inasimama muda mwingine ila nikipiga napiga bao moja na kusubiriaa isimame kwa muda mrefu sana, ila nikijifanya nataka kuunganisha yaani bao la kwanza na la pili ndo mboro inakuwa ndogo mfano ya mtoto mdogo !!

All in all nimesoma comments zenu ntalifanyia kazi hasa nianze ratiba za kegel exercise, mlonge ,juice ya rozela, mazoezi ya mwili mzima maana hapa nakitambi flani hivi bado hakija nizidi piaa na uzito wa juu W87KG… mdalasin, Asali mbichi, n.k

Nilitamani sana nikapime kiwango cha Testosterene, pia na maumivu ya mgogo hasa kwa chini uelekee wa kiuno, sjui umetokana na nini ila nafikiri ni kati ya hivi vitu viwili ( kuendesha pikpik sana au ubebaji wa vitu vizito unaweza kuwa umenitengua )


Ila nikiwaga kwenye Best mood aisee mboro huwa inakiwaga timamu sana!! Napiga mpaka demu anataka kukimbia

Umri wangu kwa sasa miaka 30 …..






Asubuhi sana
 
fazobonas
tafuta mafuta ya mzaituni MLS 10, - chupa 3.
👉Kitunguu swaumu robo kilo, Kisha vitwange mpaka vilainike.
👉Kaanga katika sufuria hayo mafuta na vitunguu swamu.
👉Mpaka vibadilike rangi, Kisha acha yapoe na uhifadhi katika chupa ndogo yenye mfuniko.
👉Kabla ya kuanza kutumia dawa, pima ukubwa na urefu was uume wako- ili ufahamu.
👉Utakuwa una uchua uume wako kwa maji ya uvugu vugu(ndani ya dk 15).
👉Kisha ndo una Chua uume kwa mafuta hayo, uliyo andaa.
👉Hakikisha haumwagii, maana ni hatari na haifai(Utakuwa mwanachama was nyetooz).
👉 Tumia wiki 2- 4 Natumai Utaona
 
Back
Top Bottom