Tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo

Pia jaribu kuonana na wataalam wa urology mfano kama upo dar kuna MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSP ipo mbezi chini rainbow.

Kuna jamaa niliwahi muelekeza akaends hapo kafanyiwa vipimo kumbe tatizo dogo tu la gesi , aliwahi nipigie simu kuwa mkeka wake kwa sasa umetiki
Gesi hi tumboni inaweza kufanya mboo kuwa ndogo Kam ya mboto
 
Nikuulize. Unasimamisha/nguvu za kutosha zipo? Ukisimamisha unakuwa na urefu gani?
 
Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.

Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.

Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
Tatizo hili linaweza kutokea kwa sababu mbalimbali.mfano punyeto, pressure ya damu ni ndogo yani haizunguzi ipasavyo namaanisha damu ndo inafanya uume usimame kwahiyo ikiwa mishipa yako ya uume haipitishi damu vizuri basi uume hautosimama ,pia wenge hapa namaanisha unakuwa unasimamisha sana ukiwa peke yako hasa unapotaka kukutana na mpenzi wako lakini akishafika unakosa nguvu sababu nguvu nyingi ulizitumia kusimamisha ukiwa peke yako, pia kutazama pono hii ina madhara sana ktk afya ya uume wako,kingine kulithi huenda kuna ndugu yako alikuwa na ugonjwa huu. Nakushauli kwanza usikate tamaa utapona, hivyo Fanya mazoezi ya mwili pia ya uume wako yani hata ukiwa umekaa unaweza kufanya mazoezi ya uume wako uwe unafanya Mara 60 kwa siku yani unabana unaachia msuri ya uume wako,pia ukiwa unakojoa epuka kupana mkojo kwa mkono wako yani usishike uume ukaubana ili mkojo usitoke badala yake tumia misuri ya uume wako kubana mkojo.kwahyo unapokojoa usikojoe mfululizo .kojoa huku unabana mkojo kwa kutumia misuri yako . kingine tafuta mti unaitwa mrongeronge kila asubuhi kabla hujala tafuna vitinda vyake 5 kwa siku. Kingine jiamini .utanikumbuka
 
Pole sana! Kama ulianza kugundua tatizo hili kwenye age ya 16 maana yake una chango la kiume ambalo liliathiri utolewaji wa homoni za ukuaji wa msumbile,homoni hizo pia huhusisha nguvu za kiume.Kwa age ya 21 uliyonayo bado huchachelewa sana unaweza kutibika ukipata tiba sahihi,lakini pia ukiendelea kukaa bila kujitibu kanaweza kuendelea kuwa kadogo zaidi.Hii hali inawatokea watu wengi,wengine ni watu wa umri mkubwa zaidi na mara nyingi kesi hizi ni common sana kweye age ya 30- 45.
 
Ukiwa umekaa popote pale au umesimama bana misuri ya uume wako kama vile unakojoa au unakunywa bana achia Fanya hivyo Mara 60 kwa siku.hii itakusaidia itaweka uimara wa misuri ya uume wako
 
Hamna dawa ya kurefusha ataishia kutapeliwa alafu hii hali ya kuhisi mashine ndogo uwa inawakumba vijana wengi wanapo balehe kwa kukosa kujiamini ila muhimu azingatie mazoezi hasa jogging na kenjel (sijui kama nimepatia spelling)
Kegel muscle exercises.
 
Pole

Kweli hiyo fedheha Sana!

Unatatizobla presha pia Tena ya kushuka!

Why!?uume kusimama unategemea presha ya damu!

Ni siku zote au no baadhi ya siku!?

Pia inawezekana ulijichua sana!!

Suluhisho-uhakika

1.Tafuta unga wa mlonge wa majani ulikaushwa ukasagwa!utachemsha maji ya moto weka kwenye themos mimina kwa kikombe Cha chai weka ule unga kijiko kimoja Cha chai au viwili changanya subiri iyeyuke kunywa vikombe viwili cya chai asubuhi na jioni muda wa kwenda kulala!

2.unga wa mizizinau mizizi yenyewe chemsha kama chai kunywa vikombe viwili kama hapo juu!

Au

2.mbegu tatu za mlonge utaondoa maganda utakuta karanga fulani tafuna kunywa na maji na maji yatakua matamu kama sukari mdomoni wakati unakunywa!utakunywa majihi mengi na utashinda unakojoa!

Fanya siku saba!!

Acha kujichua kijana!

Fanya pia mazoezi ya kegel unapokojoa yaani unakojoa na kukata mkojo ili misuli ya urethra iwe active!

Lala ma mpenzi wako wakati zoezi la tiba linaendelea isije simama ukakosa pa kuchomeka akaenda kupiga pull!

Hivyo,jaribu!

Mlonge-Drumstick-moringa oleifera!

Kila la kheri!

Jamani, nina umri wa miaka 21, nina tatizo la uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto mdogo, na hata wakati wa tendo kabla sijaingiza ukeni huwa unasinyaa na hata ukiingia bado unasinyaa.

Nimezunguka sana kutafuta tiba lakini sijapata. Hivyo naomba msaada kwa mtu yeyote yule ambae amewahi kupona tatizo hili.

Maoni na ushauri unaruhusiwa pia.
 
Pia jaribu kuonana na wataalam wa urology mfano kama upo dar kuna MDM UROLOGY SPECIALIZED HOSP ipo mbezi chini rainbow.

Kuna jamaa niliwahi muelekeza akaenda hapo kafanyiwa vipimo kumbe tatizo dogo tu la gesi , aliwahi nipigia simu kuwa mkeka wake kwa sasa umetiki
Sawa mkuu ntajitahidi kufanya hivyo nashukuru sana
 
Tatizo hili linaweza kutokea kwa sababu mbalimbali.mfano punyeto, pressure ya damu ni ndogo yani haizunguzi ipasavyo namaanisha damu ndo inafanya uume usimame kwahiyo ikiwa mishipa yako ya uume haipitishi damu vizuri basi uume hautosimama ,pia wenge hapa namaanisha unakuwa unasimamisha sana ukiwa peke yako hasa unapotaka kukutana na mpenzi wako lakini akishafika unakosa nguvu sababu nguvu nyingi ulizitumia kusimamisha ukiwa peke yako, pia kutazama pono hii ina madhara sana ktk afya ya uume wako,kingine kulithi huenda kuna ndugu yako alikuwa na ugonjwa huu. Nakushauli kwanza usikate tamaa utapona, hivyo Fanya mazoezi ya mwili pia ya uume wako yani hata ukiwa umekaa unaweza kufanya mazoezi ya uume wako uwe unafanya Mara 60 kwa siku yani unabana unaachia msuri ya uume wako,pia ukiwa unakojoa epuka kupana mkojo kwa mkono wako yani usishike uume ukaubana ili mkojo usitoke badala yake tumia misuri ya uume wako kubana mkojo.kwahyo unapokojoa usikojoe mfululizo .kojoa huku unabana mkojo kwa kutumia misuri yako . kingine tafuta mti unaitwa mrongeronge kila asubuhi kabla hujala tafuna vitinda vyake 5 kwa siku. Kingine jiamini .utanikumbuka
Dah nashukuru sana boss kwa ushauri ntafanyia kazi eti
 
Pole sana! Kama ulianza kugundua tatizo hili kwenye age ya 16 maana yake una chango la kiume ambalo liliathiri utolewaji wa homoni za ukuaji wa msumbile,homoni hizo pia huhusisha nguvu za kiume.Kwa age ya 21 uliyonayo bado huchachelewa sana unaweza kutibika ukipata tiba sahihi,lakini pia ukiendelea kukaa bila kujitibu kanaweza kuendelea kuwa kadogo zaidi.Hii hali inawatokea watu wengi,wengine ni watu wa umri mkubwa zaidi na mara nyingi kesi hizi ni common sana kweye age ya 30- 45.
Nashukuru boss sitakata tamaa kutafuta tiba sahihi mpaka nipone
 
Pole sana kijana kama umeenda hospital na umeambiwa huna shida ya minor, U.T.I sugu, stress nk ngoja nikwambie sasa tafuta samaki aina ya kambale yule aliyevuliwa bado mzima ambaye ukimrudisha kwenye maji anaendelea kuishi sawa

Chukua uyo samaki mchanje atoe damu kisha na wewe jichanje sehemu ya uume wako utoe tamu kisha chukua ile damu ya kambale paka pale kwenye uume wako ulipochanja yani damu ya kambale ikutane na damu yako kisha paka chumvi kisha mrudishe uyo samaki kwenye maji aende zake in two days mnara unamka
 
Sijawai mpa mimba Binti ntampaje wakati kabla hata sijaingiza inasinyaa.
Wanawake wako ni wasafi?

Kuna kuwa na hali ya kuwa na hisia?

Nakushauri utoke usiku nenda maeneo yenye wanawake wanaojiuza chagua mrembo sana na msafi ambaye ana vigezo vyote unataka, mpeleke hotel ya kulala safi na nzuri... Muandalie mazingira ya raha alafu akupe kila ujuzi wake
 
Back
Top Bottom