DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Pambana ndugu! Hiyo ni fedheha kubwa.Unaweza pia kunicheki zaidi nikakuchukua maelezo kwa ushauri zaidi.Tiba zipo huna haja ya kukata tamaa umri wako bado sana.Nashukuru boss sitakata tamaa kutafuta tiba sahihi mpaka nipone
...Uwe macho kwenye huku Kutafuta Matibabu, maana Kuna Wengi TU wataoona kuwa Umekuwa fursa ya wao kupiga pesa. Jihadhari.Nashukuru boss sitakata tamaa kutafuta tiba sahihi mpaka nipone
We jamaa unazingua ๐Neema hiyo , Gono na UKIMWI utausikia kwa jirani
Nashukuru sana kwa ushauri boss ntafanyia kazi.Tengeneza mchanganyiko huu na unywe nusu saa kabla ya mzagamuano.
Koroga vizuri kunywa yote..unaweza chuja au ukanywa hivyo hivyo.
- Juisi ya rosela glass moja (250ml)
- tangawizi ( sagia fresh tangawizi ni nzuri zaidi)
- pilipili manga kijiko kimoja cha chai
- Asali vijiko viwili
- mdalasini magome saga iwe unga tunia kijiko kimoja au viwili vya chai
Tulia nusu saa then mtafute mama watoto. Utakuja nishukuru.
Science behind.
Hiyo rosella na hizo spices zitasaidia kuboresha mzunguko wa damu na kusafisha mishipa. Pia unaongeza hanu ya tendo. Unaweza kuwa unakunywa kila siku siyo lazima wakati wa mzaganuano.
Kwa wale wanywaji. Anza na bia moja au mbili za Plisner then uje na hiyo juisi utakuja niletea mrejesho hapa
Usisite kuleta mrejeshoNashukuru sana kwa ushauri boss ntafanyia kazi.
Sikushauri kabisa ule karanga mbichi maana utakojoa hata kabla haijaingia. ๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐ ๐๐๐๐Jitahidi ule matunda na mbegu zinazo boost hamu ya ngono, mboga za majani , wadudu wa baharini/ziwani, maji ya kutosha na ufanye mazoezi ya tumbo kwa wingi. Kutafuta pumzi kimbia .
Sikushauri kabisa ule karanga mbichi maana utakojoa hata kabla haijaingia
๐๐๐ก๐ ๐ค๐ฎ๐ฆ๐ญ๐ข๐ฌ๐ก๐View attachment 2856373
Kwa mbaaali naona dalili
๐๐ซ๐จ๐ง๐ ๐ฎ๐ฆ๐๐๐ง๐ณ๐ anatakiwa apractice no fapNeema hiyo , Gono na UKIMWI utausikia kwa jirani