Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

Tatizo la vijana wadogo kuwalea watu wazima limeanza kukithiri Dar

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,367
Reaction score
11,604
Sio ushuani, sio uswahilini, kila kijana anacheza namba yake. Inasikitisha sana!

Unakuta binti mdogo wa miaka kama 20 hivi analea jibaba la miaka 45 mpaka unabaki unajiuliza hili jibaba lenye miraba minne nyumbufu linampa nini huyu binti?

Same applied to Boys wa miaka kama 20, unakuta ana jimama la miaka 38 analihudumia kwa kila kitu, kuanzia kodi mpaka chakula. Ukimhoji anakwambia ana-feel proud kunyenyekewa na mwanamke mwenye umri mkubwa. Duh! Ama kweli mwisho wa dunia u karibu

Mambo yanaanza kwenda viceversa
 
Back
Top Bottom