Juma chief
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 2,764
- 2,366
Hiyo ni sehemu ya kisogoni...baada ya kunyoa. Nyama za shingo tuu hizo usihofu.[emoji1] [emoji1] Mbona nimeeleza hapo kwenye bandiko, mkuu.Kwanza kabla ya ushauri wowote ingekupasa ueleze ni sehemu gani ambayo imeathirika mana kila sehemu hua ina kuwa na visababishi viambatanishi.
mpa wapi sasa..??..nitawafuataje kama adress umebaki nayo,pasina kuibandika hapa...??..Hii inaitwa Sycosis Barbae. Inatokea wakati unaponyoa against plane ya nywele zako, inapelekea kutengenezwa kwa a potential space btn hair follicles ambayo pathogenic microorganisms wanaota. Kwa matibabu zaidi nitafute.
ulitumia nini sasa? Au ndio ulifuata hayo maelekezo?Kuna aina ya mashine hususani hizi za saluni zetu ni butu hivyo zinang'oa nywele badala ya kukata, kwa hiyo ukikata nywele kwa kifaa butu ikang'ooka lile tundu ilipong'oka nywele linakuwa affected na bacteria hatimae ngozi ina react kama hivyo manundu yanakutoka! SASA NINI UFANYE:
1. Tumia kifaa kikali kukata nywele zako hata kama ni mavuzi kata kwa kifaa chenye ncha kali sana,chagua wembe mkali
2.Inaaminika mashine za umeme huleta matokeo mazuri zaidi ya unyoaji hususani zile ambazo nyembe zake zinanolewa vizuri
3. Be selective,wapi unanyoa je ni hair cutting salon au barber shop au chini ya mwembe kwa wazee wa zungu la unga na vitana
4. Chungua aina ya kemikali unazopaka baada ya kunyoa after shave liquids,lakini pia dawa za nywele kv blackening liquids nk unaweza kuwa allergic na moja ya hizo
Credit: Kwa alienisimulia ilinisaidia nilisahau kitambo vipele vya ndevu na vya kwenye ncha za kichwani
Hapana haujanikwanza lengo lako ilikuwa kujua ni eneo gani la mwili.[emoji1] [emoji1]Pole mkuu, na samahani kama nitakua nimekukwaza
poa mkuu, zinapaikana kwenye phamarcy zetu hizi za kitaa?Tumia skderm cream ni nzur sana
Hat mm pia naungan na ww bhnWataalamu watupatie walau Maelezo.Mimi kidevu kinawasha sana ndevu zinapoanza kuota na vipele Kama hivyo hutokea
Kuna clinic moja jina limenitoka. Iko baada ya hospital ya TMJ kama unaenda kawe. Nahisi yale maeneo yanaitwa kwa warioba. Kuna mtaalam wa ngozi anatibu iyo kitu simple kabisa. Nikikumbuka jina nitakuambia.
Nilifuata maelekezo ya mshikaji ni dermatologist ikanisaidia niliikuwa nashave ki hair cutting salon mshikaji akiwa anakushave na machozi juu nikatafuta barber shop ya ukweli jamaa wanaojielewa na mavuzi nikawa nakata kwa wembe kali tripple edged razors na genuine mabo swafi hakuna vipele kwenye kengele kidevuni wala kichwani, ila kama ni kesi ya allergy hapo jamaa wa hospital wanahusika, huku kwingine ni selection tu.Ulitumia nini sasa? Au ndio ulifuata hayo maelekezo?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] so ziwe msituPole sana ndugu;usiforce kunyoa.Kama vip achana na kunyoa.
mh! nilitaka kuuliza na mmHicho ni kichwa?
sijaumia mkuu....huo ni mkunjo wa nyama za shingo eneo la kisogoni.....hali hiyo unitokea punde baada ya kunyoa,baadae vinapotea.....kama kuna tiba unaifahamu mkuu nielekeze tuu....
Fuatilia wachangiaji, waweza pata ufumbuzi.Hat mm pia naungan na ww bhn
Nmesumbuk xn
Na
Mpk xxa bdo nasumbuka san
Kuhusiana na tatizo km hili
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] .....Nilifuata maelekezo ya mshikaji ni dermatologist ikanisaidia niliikuwa nashave ki hair cutting salon mshikaji akiwa anakushave na machozi juu nikatafuta barber shop ya ukweli jamaa wanaojielewa na mavuzi nikawa nakata kwa wembe kali tripple edged razors na genuine mabo swafi hakuna vipele kwenye kengele kidevuni wala kichwani, ila kama ni kesi ya allergy hapo jamaa wa hospital wanahusika, huku kwingine ni selection tu.
uchambuzi wa maoni unazingatiwa mkuu....[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] so ziwe msitu
kisogo chako sio romantic kabisa
Ndio ni sehemu ya kisogoni....[emoji1] [emoji1] ..nyama za shingo tuu hizo usiogope.mh! nilitaka kuuliza na mm
Kwa hiyo sasa ndio una shauri lipi?Okay, salon nikienda kunyoa, nimeshaona almost two time
Wanamnyoa mtu kipara, halafu wanampaka mtu magic mpaka kichwani. Baada ya muda, wanamtoa hio magic, wanakupaka poda nyingine wanaanza kunyoa Tena. tHe whole process ni almost lisaa limoja na nusu
Nimeshaona wakiwafanyia watu hivyo, .
[emoji15] [emoji15] [emoji15] ....!!!!....[emoji23][emoji23]acha kunyoa