Linakuwa jeupe hivi, jina hata mimi silifahamu
Current
Muda mwingine tiba hutegemea na aina ya ngozi
Hilo jiwe as shown
Nimetumia pia bila matumain
Kwa ndevu linasaidia
But kwa huo upele hapo juu no home
Natoa hili kama mgonjwa na sio dr
Huo upele inatesa hasa kipondi cha joto ni balaaa
Please lets opt dawa nilizotoa hapo juu
Zimenisaidia kwa muda mfupi sana
Ikumbukwe miaka 10+ sikupata nafuu
Ungetusaidia kujua na hiyo dawa ya vidonge tungeshukuru sana mkuu, kuna rafiki yangu ana hilo tatizo hadi namuonea hurumaAliniandikia dawa ya kupaka inaitwa candiderm cream na vidonge vya anti allergy kwa jina sivikumbuki nilikuwa nameza vinne kwa siku kwa muda siku 28. Pole Sana.
Mimi nina tatizo hilo,tusaidie jina la hivyo vidonge ili tusaidike wengiAliniandikia dawa ya kupaka inaitwa candiderm cream na vidonge vya anti allergy kwa jina sivikumbuki nilikuwa nameza vinne kwa siku kwa muda siku 28. Pole Sana.
Ukimaliza kunyoa na mashine, mkasi au wembe paka "apple cider vinegar". Unaweza kuulizia kwenye duka la dawa kubwa. hii itakausha na kuua wadudu halafu rudia kila ukimaliza kuoga. Tumia kwa siku tatu hivi. Kijiko kimoja uchanganye na maji nusu glass. Pia ulizia dawa ya fungus " sonaderm" ukimaliza kunyoa upake. Nafikiri vitasaidia. APPLE CIDER VINEGAR inasaidia pia kama umekula chakula kikakuletea matatizo kama kuharisha vile, unakunywa kijiko kikubwa kwenye glass ya maji. kuhara kunaisha.Ndugu zangu ndani ya JF habari zenu.
Mimi nina matatizo ya vipele mwisho wa nywele za kichwani upande wa kisogoni ambavyo vinatokana na kunyoa.
Nimepata ushauri kwa madaktari mbalimbali juu ya dawa za kutumia bila mafanikio.Kama kuna mtu anajua ni namna gani naweza kutibu na pia kuzuia visitokee tena naomba tuwasiliane humu JF.
Nimeona watu wengi hivi karibuni wamekuwa na hali hiyo ambapo baadhi inapelekea kuota nyama kubwa baadaye.Naomba anayejua asaidie,maana najua watu wengi wanahangaika sana kuutibu ugonjwa huo sasa.
Nitashukuru kwa mtu yeyote aliye tayari kutoa msaada wa ushauri na hata kama kuna dawa aiandike humu niitafute.
Asante.
Kaka kwa vipele hivyo sahau ""DAWA maana mimi nilishakwenda mpaka nje ya nchi but ckupona....ila nilienda arusha kwa Dr Njela ana kitengo kwa ajili ya kuviondoa na anavifaa maalumu vya kuvinyofoa then atakupatia dawa za kupaka aina mbili...kwishaaaaa mie nipo poa sasa.mwenye uufahamu wa hili tatizo anisaidie msaada wa tiba nini nifanye niweze kuepukana na hili tatizo wanduguView attachment 384093View attachment 384094
Asante sana mkuu kwa maelekezo yako mazuri.Ukimaliza kunyoa na mashine, mkasi au wembe paka "apple cider vinegar". Unaweza kuulizia kwenye duka la dawa kubwa. hii itakausha na kuua wadudu halafu rudia kila ukimaliza kuoga. Tumia kwa siku tatu hivi. Kijiko kimoja uchanganye na maji nusu glass. Pia ulizia dawa ya fungus " sonaderm" ukimaliza kunyoa upake. Nafikiri vitasaidia. APPLE CIDER VINEGAR inasaidia pia kama umekula chakula kikakuletea matatizo kama kuharisha vile, unakunywa kijiko kikubwa kwenye glass ya maji. kuhara kunaisha.
View attachment 513184
Kaka naomba namba yakoKaka kwa vipele hivyo sahau ""DAWA maana mimi nilishakwenda mpaka nje ya nchi but ckupona....ila nilienda arusha kwa Dr Njela ana kitengo kwa ajili ya kuviondoa na anavifaa maalumu vya kuvinyofoa then atakupatia dawa za kupaka aina mbili...kwishaaaaa mie nipo poa sasa.
Hivi vipele huwa sio kuuma tuu bali humshusha mtu thamani nakujiskia kama hayupo sawa mbele ya watu wake wa karibu...
Usiombe sasa uwe boss ofisi fulani watu watakutungia jina "boss vipele"
Hao wadudu wanasambazwa na mashine za saluni na wakishajenge makao ktk ngozi ya hapo shingoni wahi kabla hawajazaliana na kuwa wengi..
ONYO: Usijaribu kutumia dawa za kienyeji wanazouza saluni!!!!! (wanachanganya maji ya betri, mafuta ya breki ya gari, unga wa betri-dry cell nakadhalika, utaweza kuja kupata kansa bureee)
JINSI YA KUFIKA KWA DR
Ukifika arusha Mianzini, shuka na road ya kwenda stendi kuu, ukifika round about pinda kulia kama unaenda makao mapya, mko wako wa kushoto utaona NHC Complex, ingia hapo ulizia huyo DR watakuonyesha office yake na utapata huduma.
Huyu sio mganga wa kienyeji bali ni Dr halali.
Poleni sana, mie nlishapona baada ya kuhangaika na kupoteza milions of money kwa 5 years, kumbe huduma ipo nyumbani na gharama ndogo sana.
Viauma na kuwasha,kunyoa mara nyingi huwa ninaenda saloon,hospital hisia zao ni mzio(allergy)vinauma? unashave kwa kutumia nn? hospital walikuambia nini?