Kuna jiwe linaitwa shabu kama chumvi ya mawe hili linaondoa tatizo kabisa,unachovya kwenye maji na kupaka baada ya kunyoa.Saloon za wahindi mjini zote hutumia.
pesa pesa pesa hiyooooo mkubwaaa.
kuna mahali hivyo vipele huwa vina ambatana na imani zetu zileeeee za mlango wa nyuma na mahusiano ya pesa.
huwa vinakuwa nyuma ya shingo ukimuona jamaa vimeshamili sana ujue msimu huo pesa haikaukiii mgoni umetema lakini ukiona vinapotea na vinekauka ujue ngoma inakata
ndugu zangu ndani ya jf habari zenu.
Mimi nina matatizo ya vipele mwisho wa nywele za kichwani upande wa kisogoni ambavyo vinatokana na kunyoa.
Nimepata ushauri kwa madaktari mbalimbali juu ya dawa za kutumia bila mafanikio.kama kuna mtu anajua ni namna gani naweza kutibu na pia kuzuia visitokee tena naomba tuwasiliane humu jf.
Nimeona watu wengi hivi karibuni wamekuwa na hali hiyo ambapo baadhi inapelekea kuota nyama kubwa baadaye.naomba anayejua asaidie,maana najua watu wengi wanahangaika sana kuutibu ugonjwa huo sasa.
Nitashukuru kwa mtu yeyote aliye tayari kutoa msaada wa ushauri na hata kama kuna dawa aiandike humu niitafute.
Asante.
mkuu vipi bado hili tatizo upo nalo ama umepowa ? Kuna dawa moja nzuri tu kama bado unasumbuka nijulishe, . NIME NOTICE kuna watu bado linawasumbua kesho nitaweka picha ya hii dawa leo naweka jina lake .hii dawa inaitwa SURFAZ-SN TRIPLE ACTION CREAM. anti fungal ,antibacterial,anti inflammatory .inatibu karibu maradhi yote ya ngozi.
Mkuuu hiii inapatikan kwenye hizi pharmacy zetu?
daaah hizi imani bado zipo mkuu😯😯😯😯
Yanapatikana kwa maduka ya vipodozi auTafuta mafuta fllani yanaitwa radiant kaka yako pooa Sana aisee made in Uganda Ni Tsh 2000 Tu uwe unapaka
Hapo umenena Mimi nilijaribu miaka 5 tatizo likapungua kabisa mwaka jana nilikuwa nchi Fulani nikala nyama ya Ng'ombe tatizo limerudi kwa kiasi kikubwa zaidi hapa niko kwenye dozi lakini naona haisaidiTry this. acha kula nyama ya aina yoyote ile kwa 2wks. then rudisha majibu. usitumie dawa yoyote ile.
atakuwa askari huyu ndo maana hawezi fuga rastaMyTanzania, samahani natoka nje kidogo ya mada, kwanini lakini rasta hawaruhusu sehemu unayofanyia kazi?!