Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

Hellow,

Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo chini ya kisogo zaidi ya miaka 6,

Nimejaribu dawa mbalimbali lakin hazija saidia, naomba msaada wa tiba kwa mwenye uhakika jinsi ya kutibu hili,
Kwan naamin bado kuna tiba ila mdo bado cjaipata bado,

Karibun
 
Miaka 6 ni mingi sana. Kwa misingi hiyo utakuwa umejaribu kuonanan na madaktari wakakushauri na kukuandikia dawa za msingi. Hivo ningekushauri pia ujaribu kutuelezea vizuri dawa ambazo umewahi kutumia pia kuna na viupele vya aina nyingi,ni vema ukapiviga Picha ili iwe vema kugundua ni ugonjwa UPI. Otherwise fika kwa daktari for physical observation of our problem. Pole mkuu.
 
Mimi huwa navifinya finya tu,na kuzibandua bandua kwa kucha mpaka vinaisha,mi huwa nawahi kabla havijazidi sana,sass sijui we khali yako
 
Miaka 6 ni mingi sana. Kwa misingi hiyo utakuwa umejaribu kuonanan na madaktari wakakushauri na kukuandikia dawa za msingi. Hivo ningekushauri pia ujaribu kutuelezea vizuri dawa ambazo umewahi kutumia pia kuna na viupele vya aina nyingi,ni vema ukapiviga Picha ili iwe vema kugundua ni ugonjwa UPI. Otherwise fika kwa daktari for physical observation of our problem. Pole mkuu.
Mhmm,
Kuhusu dawa, ckumbuki tena, cos nlitumia dawa nyingi kiasi afu ni muda umepita, so sizikumbuk kwa kwel,

Ila ilo wazo lako la kwenda kukutana na wataalamu ni zuri pia,

20aa52f900d95de7030d25b705056cde.jpg
 
  • Thanks
Reactions: SMU
Dingiyangu mdogo anakaribia karne sasa anahangaikanavyo
 
Wako watu wengi wenye ilo tatzo me nafanya biashara za saloon kunyoa nmeshaona watu kama wa4 wenye ilo tatzo wameshakubaliana nalo ilo tatzo ebu jaribu kutafta kidude flani ivi kiko kama magadi vinauzwa kwenye maduka ya wahindi ukimaliza kunyoa unajipaka
 
Mkuu unakumbuka jina la hilo dawa..
 
Tumia dawa ya kupaka inaitwa Sonaderm. Hii dawa lazima utapona. Ukishapona zingatia usafi mara baada ya kunyoa jisafishe kwa sabuni na maji ya moto. Usipende kunyoa upara au kuchonga nywele hadi kwenye ngozi. Pia mafuta ya kupaka yanaweza kuwa mabaya kwako labda jaribu mafuta ya nazi au ukiweza usipake kabisa mafuta sehemu hiyo baada ya kunyoa. Ukipona lete mrejesho kuwezesha wengine kutumia dawa uliyotumia na kupona.
 
Hellow,

Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo chini ya kisogo zaidi ya miaka 6,

Nimejaribu dawa mbalimbali lakin hazija saidia, naomba msaada wa tiba kwa mwenye uhakika jinsi ya kutibu hili,
Kwan naamin bado kuna tiba ila mdo bado cjaipata bado,

Karibun
Morning
Pole sana nimekuwa na huo ugonjwa for more than 10 years
Nilitumia dawa hadi za kienyeji kuna dawa iko arusha inaitwa kibiriti upele but hapakuna na nafuu
Nimepata dawa yake
Kutoka kwa dr bingwa wa ngozi yupo mwanza
Bofore
15786e8a67a0cec48f738858eebd4e3e.jpg

After 3 weeks
4f99963293adc0a82c62df1c4f603a14.jpg

Current
fd199ee8ac9269d14b8a11aa31b009dd.jpg

Tiba yake
Utatumia dawa aina mbili pekee
1.Mupirocin ointment
2.pyodine solution
9222192265afdeb384c22cef9bdb2428.jpg

Matumizi
Tumia asubuh na jion
Kila siku
Then leta feedback
Hope nimeeleza vizur (HAPPY ESTER)
 
Hizo dawa unachanganya au unatumia kila dawa kwa wakat wake.
 
Hellow,

Nasumbuliwa na vipele vidogo vidogo chini ya kisogo zaidi ya miaka 6,

Nimejaribu dawa mbalimbali lakin hazija saidia, naomba msaada wa tiba kwa mwenye uhakika jinsi ya kutibu hili,
Kwan naamin bado kuna tiba ila mdo bado cjaipata bado,

Karibun
Pole sana ila nifahamuvyo mimi ni kuwa watu wengi ambao ni overweight ndo wanakuwa na hiyo kitu, jaribu kufanya mazoezi ambayo ni serious excersise na pia jaribu kubadili diet yako, kuƙa mbogamboga zaidi na nyama yoyote ila isizidi robo kilo, pia kunywa juice ya matango iliyochanganywa na kitunguu swaumu, kitunguu maji, giligilani, celery, limao na nazi robo kutwa mara 2kwa muda wa mwezi utaona mabadiliko
 
Hizo dawa unachanganya au unatumia kila dawa kwa wakat wake.
Zote unatumia pamoja
Anza na pyodone iko in liquid form
Tumia mikono jipake kichwa kizima
Kazi yake ni kuuwa na kuzuia backtelia
Then
Paka
mupirocin kichwa kizima kwa mikono
Zote unatumia kwa pamoja asubuh na jion
Usitumie kitambaa
Price zake
Mupirocin =15000tsh
Pyodine=3000ths
 
Wako watu wengi wenye ilo tatzo me nafanya biashara za saloon kunyoa nmeshaona watu kama wa4 wenye ilo tatzo wameshakubaliana nalo ilo tatzo ebu jaribu kutafta kidude flani ivi kiko kama magadi vinauzwa kwenye maduka ya wahindi ukimaliza kunyoa unajipaka

Mkuu unakumbuka jina la hilo dawa..
Linakuwa jeupe hivi, jina hata mimi silifahamu
 
Pole sana ila nifahamuvyo mimi ni kuwa watu wengi ambao ni overweight ndo wanakuwa na hiyo kitu, jaribu kufanya mazoezi ambayo ni serious excersise na pia jaribu kubadili diet yako, kuƙa mbogamboga zaidi na nyama yoyote ila isizidi robo kilo, pia kunywa juice ya matango iliyochanganywa na kitunguu swaumu, kitunguu maji, giligilani, celery, limao na nazi robo kutwa mara 2kwa muda wa mwezi utaona mabadiliko
Mkuu ata underweight wanavyo.. Mm nmegundua chanzo ni saloon.. Mana nikinyoaga ndo hutokea.. But nikikaa mda mrefu bila kunyoa vinapotea.. Pia tumia betacort-N na sonaderm uwe una altenate..na kupunguza kunyoa nyoa nywele baada ya mwez mmoja utaleta mrejesho
Screenshot_2017-04-17-08-46-15.png
 
Back
Top Bottom