Tatizo la vyumba vya madarasa limekwisha. Je, kuna walimu wa kutosha kufundisha wanafunzi watakaojaza madarasa hayo?

Mbona watanzania tuna kua walalamishi, nenda kwenye page za tamisemi utaona wanacho fanya, na kufanya elimu iwe bora ni hatua, ange ajiri mngeuliza madarasa yako wapi. Ebu tuache kulalamika kama una ushauri toa sio kutukana tu. Hizi ni tabia za watu wa facebook wao kila kitu ni kupinga tu
 
Igweeeeee

Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.

Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?

Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.

Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!

Happy New Year 2022
Duh!limekwisha aje sasa? Ni ka ahueni tu

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Uhaba wa Madarasa umeisha lini?

Tembelea shule Mbili tatu hapo jilani uone moto wake. Watoto ni wengi kuliko kawaida.

Wamejenga Madarasa kwenye baadhi ya shule tu. Shule nyingi bado zinahitaji Madarasa.

Ukitaja nitakutajia majina. Ila jaribu kutembelea shule Mbili tatu hapo jilani kwako.
 
Walimu wapo wakutosha..hasa masomo ya sana..wanaohotajika ni walimu wa masomo ya sayansi.

#MaendeleoHayanaChama
Si kweli wewe ni muongo , hao walimu wa sanaa mwalimu mmoja anavipindi 46 kwa wiki.
 
Uhaba wa Madarasa umeisha lini?

Tembelea shule Mbili tatu hapo jilani uone moto wake. Watoto ni wengi kuliko kawaida.

Wamejenga Madarasa kwenye baadhi ya shule tu. Shule nyingi bado zinahitaji Madarasa.

Ukitaja nitakutajia majina. Ila jaribu kutembelea shule Mbili tatu hapo jilani kwako.
Muwe na shukrani wandugu , kwa nchi kubwa kama tanzania ambayo wananchi wake wanazaliana kama sungura huwezi kumaliza matatizo yote ila yanapo punguzwa tunashukuru
 
Igweeeeee

Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.

Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?

Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.

Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!

Happy New Year 2022
Safari ni hatua,serikali haiwezi kufanya mambo yote kwa mpigo mmoja.
Upungufu wa wataalamu haupo kwenye elimu tu,hata idara zingine upo.
Subira yavuta heri.
 
Muwe na shukrani wandugu , kwa nchi kubwa kama tanzania ambayo wananchi wake wanazaliana kama sungura huwezi kumaliza matatizo yote ila yanapo punguzwa tunashukuru
Yaani sielewi sisi watanzania ni generation ya kizazi cha nabii nani huko nyuma? Lipeni kodi hatutaki (tunalalamika); inakusanya kwa tozo in a very polite compliance (hatutaki tunalalamika); serikali inakopa basi Ili mambo yaende (hatutaki tunalalamika).

Tuna matatizo manne
1. Uhaba wa Madarasa
2. Uhaba wa walimu
3. Uhaba wa vifaa vya kufundishia
Serikali inatatua tatizo moja Kati ya hayo, tunalalamika!! What a crazy society ever seen under the sun!
 
Tatizo la Madarsa bado tuseme haya 3000 yamepuguza shortage, bado kuna uhaba wa madarasa 7500 nchi zima sekondari na 10000 shule za msingi!!

Shule za kata zoote asilimia kubwa zina uhaba wa mtundu ya vyoo, administration blocks na maktaba

NB: Ikumbukwe rate ya registration ya watoto darasa la kwanza 2022 inatarajiwa kuwa above Mil 6 nchi nzima hivyo tatizo la madarasa ni endelevu since tumeamua kuzaana bila kuzi gatia
 
Ujenzi umekamilika ila wamesahau miundo mbinu mingine. Mfano vyoo, ofisi za walimu, shule za vijijini ( satellite schools) makazi ya walimu.

Au vyoo tunasubiri kuja jengewa na USAID
Darasa moja linaweza kugeuzwa ofisi ya walimu
 
Ili tusiendelee kujenga madarasa na kununua madawati siku zote ni muhimu sana serikali ikajikita kusisitiza elimu ya mpango wa uzazi.
 
Igweeeeee

Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.

Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?

Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.

Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!

Happy New Year 2022
Yes sasa serikali ianze polepole kutatua matatizo ya waalimu,nyumba za walimu na vitabu,kwakweli sio rahisi kumaliza kila kitu maana kuna nyingi nazo zinahitaji fedha za serikali

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka wale walimu maarufu vodafasta walitibu tatizo kiasi chake lkn kwa tuna walimu wa kutosha mtaani hope mwakani wataajiliwa wa kutosha
 
Kuajiri tu haitoshi, waweke na equal distribution, maana kila mwalimu anataka kukaa mjini, ifike kipindi uhamisho wa walimu utazamwe upya
 
Kibali cha ajira kishatoka.. bado kutangaziwa tuu..
Tulieniii.. [emoji23]
 
Back
Top Bottom