Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tulicheleweshwa na CHADEMA?Better late than never
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulicheleweshwa na CHADEMA?Better late than never
Duh!limekwisha aje sasa? Ni ka ahueni tuIgweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?
Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.
Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!
Happy New Year 2022
Huwezi kufanya vyote kwa pamoja mbona mnakua na gubu sana wangeanza kuwaajiri walimu mngesema watafundisha watoto chini ya miti
Si kweli wewe ni muongo , hao walimu wa sanaa mwalimu mmoja anavipindi 46 kwa wiki.Walimu wapo wakutosha..hasa masomo ya sana..wanaohotajika ni walimu wa masomo ya sayansi.
#MaendeleoHayanaChama
Muwe na shukrani wandugu , kwa nchi kubwa kama tanzania ambayo wananchi wake wanazaliana kama sungura huwezi kumaliza matatizo yote ila yanapo punguzwa tunashukuruUhaba wa Madarasa umeisha lini?
Tembelea shule Mbili tatu hapo jilani uone moto wake. Watoto ni wengi kuliko kawaida.
Wamejenga Madarasa kwenye baadhi ya shule tu. Shule nyingi bado zinahitaji Madarasa.
Ukitaja nitakutajia majina. Ila jaribu kutembelea shule Mbili tatu hapo jilani kwako.
Vipi kama Serikali ingeajiri walimu bila madarasa?Ujenzi wa madarasa bila walimu wa kutosha ni sifa za kijinga,,,walimu waajiriwe maana wapo wengi mtaani.
Safari ni hatua,serikali haiwezi kufanya mambo yote kwa mpigo mmoja.Igweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?
Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.
Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!
Happy New Year 2022
Yaani sielewi sisi watanzania ni generation ya kizazi cha nabii nani huko nyuma? Lipeni kodi hatutaki (tunalalamika); inakusanya kwa tozo in a very polite compliance (hatutaki tunalalamika); serikali inakopa basi Ili mambo yaende (hatutaki tunalalamika).Muwe na shukrani wandugu , kwa nchi kubwa kama tanzania ambayo wananchi wake wanazaliana kama sungura huwezi kumaliza matatizo yote ila yanapo punguzwa tunashukuru
Darasa moja linaweza kugeuzwa ofisi ya walimuUjenzi umekamilika ila wamesahau miundo mbinu mingine. Mfano vyoo, ofisi za walimu, shule za vijijini ( satellite schools) makazi ya walimu.
Au vyoo tunasubiri kuja jengewa na USAID
Yes sasa serikali ianze polepole kutatua matatizo ya waalimu,nyumba za walimu na vitabu,kwakweli sio rahisi kumaliza kila kitu maana kuna nyingi nazo zinahitaji fedha za serikaliIgweeeeee
Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa.
Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu? Je wanatosha kuweza kumudu idadi kubwa ya wanafunzi hao waliochaguliwa maelfu kwa maelfu tofauti na miaka mingine yote nchini?
Ifike muda sasa, kama serikali ilivyoamua kulisimamia swala la upungufu wa madarasa vivyo hivyo ilivalie njuga hili swala la walimu.
Serikali ihakikishe shule zote hizo zinawalimu wa kutosha masomo yote!
Happy New Year 2022
Hatua kwa hatua, changamoto zote haziwezi kutatuliwa mara mojaVifaa vipo?
Kuajiri tu haitoshi, waweke na equal distribution, maana kila mwalimu anataka kukaa mjini, ifike kipindi uhamisho wa walimu utazamwe upyaNakumbuka wale walimu maarufu vodafasta walitibu tatizo kiasi chake lkn kwa tuna walimu wa kutosha mtaani hope mwakani wataajiliwa wa kutosha
Wanapewa kilo moja ya chele kenge hawa.