Tatizo la Waislamu ni kwamba dini yao ni nzuri lakini hawaifuati

Yesu mbona alikuwa shoga na hatusemi
 
Umetoka kweny dini umechinjwa? 😅 Maana hukawii kusema nimechinjwa au nimetishiwa kuuliwa kama baba yako ni kiongozi wa dini .


Kila siku watu wanaongea Mungu si Ramadan tu . Kingene, baadhi ya ujumbe unafika kama ulivyo '' sema kweli japo inauma '' hakuna aliyekamilika ,mimi naweza kukuambia jambo fulani halifai ila sio kwamba nimekamilika.

Ummah huu ni bora kwa vile tunaamrishana mazuri na kukatazana maovu sisi wenyewe, vile vile kuna ukumbusho maana watu tunajisahau ile kumuambia mtu kitu fulani hakifai.


Mazingira ya kuheshimu Ramadan ni kama mazoea ya waislamu ,sio kwamba watu ni wanafiki ila wanaendana na uhalisia.

Kama ushirikina mpaka Papa mkuu ni mshirikina , wengine ni Mwamposab,Kakobe ,kiboko ya wachawi, Malisa kama wote hata yule Nabii wa Arusha : si umeona siri za Tb joshua ? ,tofauti yao ni kuvaa suti tu .
 
Kuna yule ustazi alimwambia afande sele atakufa ndani ya siku chache lakini mpaka leo afande anadunda.
 
Ramadhani ni chuo cha uchamungu, Quran inasema fungeni Ili mpate uchamungu,maana ufunge ukitenda mema na kuacha mabaya,we unataka wafunge wakiendelea kutenda mabaya,kuhusu maendeleo ya miji ya waislam,nikukumbushe tu,dar, zanzibar,tanga ni miji ya waislam na imeendelea kuliko ileje,tukuyu,ubena,sumbawanga,na haijaendelea leo bali siku nyingi

Na huko arabuni kwenye waislam wengi zaidi kumeendelea kuliko kwenu
Ukiniambia mbeya,rukwa,mwanza, shinyanga, Mara hakuna waganga nitakukubalia kuwa waganga wengi waislam,lakini kuna uganga na uchawi,ulilenga kipi hasa ewe mkristu wa sumbawanga!?

Mwisho acha chuki za kijinga,kufunga afunge mwingine njaa usikie wewe, ukitaka na wewe funga
 
waislamu ni wanafiq daraja la kwanza wakiwa sambamba na walokole

jamii walipo waislamu wengi ndio kuna majungu, uchonganishi, wivu na husda
wenyewe kwa wenyewe wanapendana kinafiq sana
wanahubiri mema wakati n wadhambi kinoma

mlokole na mwislamu wako daraja moja kwa unafiq, uchawi, husda, wivu na roho mbaya
 
Mimi ni mkrito na nimekulia kwenye misingi na imani ya kikrisro. Lakini sijui kwanini hua nachukizwa na mada zinazo tweza dini ama imani zingine...!!??🙄
Afunge mwingine achukie mwingine,inashangaza!!..unajua Quran inasema baadhi ya wakristu Wana chuki dhidi ya waislam..watu kama hawa hutuongezea imani juu ya Quran
 
Kuuana kupo sana geita,simiyu,iringa, mbeya, sumbawanga,majungu na uchonganishi havifuati dini ni tabia za watu, tumia fuvu lako vizuri
 
Mimi ni mkrito na nimekulia kwenye misingi na imani ya kikrisro. Lakini sijui kwanini hua nachukizwa na mada zinazo tweza dini ama imani zingine...!!??🙄
Ipo siku utalazimika tu,hujawafatilia hao viumbe ni wakorofi hatari.Hata mimi nilikuwa sipendi wasemwe baadaye yakanikuta madhira yao ni jamii ya hovyo mpaka inashangaza.
 
Kuuana kupo sana geita,simiyu,iringa, mbeya, sumbawanga,majungu na uchonganishi havifuati dini ni tabia za watu, tumia fuvu lako vizuri
mkuu majungu na uchonganishi ni tabia ila nyingi zinaonekana kwa waislamu

hakuna sehemu nimesema waislamu wanaongoza kwa mauaji nisome upya
nimesema wanaongoza kwa unafiq,uchonganishi,wivu, husda na roho mbaya
 
Mkuu maandishi yanaonyesha umeleft group sio kwa chuki na hasira hizi kwani walikuomba nini?
 
Ila vibinti vya Kislamu visafi aiseee! Nakumbuka nikivyokapembua ka Swalhina (sijui jina lina maana gani?). Ilikuwa kidogo nikabebe jumla sister wake akaweka kauzibe shauri ya utofauti wa dini!
 
mkuu majungu na uchonganishi ni tabia ila nyingi zinaonekana kwa waislamu

hakuna sehemu nimesema waislamu wanaongoza kwa mauaji nisome upya
nimesema wanaongoza kwa unafiq,uchonganishi,wivu, husda na roho mbaya
Sasa kuua siyo roho mbaya!?..majungu na uchonganishi ulifanya sensa!?..umeishi sehemu zote za nchi!?..unafiki ni nini!?..mapadre hawazini na masista na waumini wao!?.. wakristu hawahubiri amri kumi na kuzivunja!?
 
Sasa kuua siyo roho mbaya!?..majungu na uchonganishi ulifanya sensa!?..umeishi sehemu zote za nchi!?..unafiki ni nini!?..mapadre hawazini na masista na waumini wao!?.. wakristu hawahubiri amri kumi na kuzivunja!?
uko sahihi ila kwa waislamu wamezidi mkuu nimeishi sehemu zenye waislamu wengi aseeh jamaa ni wanafiq sana, vijana wadogo wana majungu balaa, wazee wanafiq kinoma noma yaan hadi wao kwa wao wana pigana majungu

mkuu walokole na waislamu ni wanafiq kiwango cha sgr
 
Bado unahangaika tu huwi clear,wewe uliwatazama wapiga majungu kwa dini zao, ulikua sehemu yenye waislam wengi, walutheri wanapigana majungu kanisani,kambi ya adkofu huyu na yule,kwa maneno yako kilimanjaro na iringa hawapigani majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…