Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Watakushauri usihofu! Pia jitahidi kumuandaa vizuri na utayari ni muhimu.
 
Nadhani jibu ashakupa mwenyewe kwamba hana hamu so hata zile hormones za kufanya vagina fluids zitoke zinakua hazihamasiki so kunakua kupo dry hvyo ukiingia lzm utamuumiza tu,relax n take notes yl I take tote of marijuana smoke gun smoke I just want paper!
 
Ina maana anaumia mkeo tu je, wewe huumii? maana kama kitu frictional ni kubwa lazima hata wewe utahisi maumivu mwishowe.
 
Nashkuru sana kwa ushauri wenu wanaJF. Next week naenda nitajitahidi kumuandaa kwa muda mrefu. Kama nikweli mimba imenikataa kama alivosema mdau mmoja cjui itakuwaje!
 
Nadhani jibu ashakupa mwenyewe kwamba hana hamu so hata zile hormones za kufanya vagina fluids zitoke zinakua hazihamasiki so kunakua kupo dry hvyo ukiingia lzm utamuumiza tu,relax n take notes yl I take tote of marijuana smoke gun smoke I just want paper!

Inaelekea hujui jinsi ya kumuandaa mkeo, huwaga tunavumilia bad romance ila baada ya muda nature inatukua mkondo wake, hatuwezi kuvumilia anymore. Omba acess jukwaa la kikubwa wakina funzadume silentwhisper Rungu wakupe darasa jinsi ya kumuandaa mkeo.
 
Last edited by a moderator:
Jaribu kwa njia zote kumuandaa. Na ujitahidi sana kutokufikiria nyumba ndogo! Kwa mazingira uliyonayo ukiiwaza tu umekwisha.
 
Kaka nenda chumvini halafu ulimi wako unaenda katika mzunguko wa namba 8,itafunguka na utapita kiulaini with no pains,ila tumia skills & tenderness sio kihovyohovyo mpaka anapoteza muelekeo.
 
Mtu akiwa na mimba hormones zina change ndo hivo wengine wanakuwa hawasiki hamu wengine wanasikia hamu zaidi ila kuna lubricant za kila aina waweza tumia ila kwa ushauri zaidi kamuone DAKTARI
 
Wewe unakuwa na hamu, mwenzio ameshapoteza hamu with time. Unatakiwa uende naye taratibu na Mazingira yawe mazuri.

Kuhusu kukosa hamu wakati wa ujauzito, itakuwa mimba imekukataa tu. Mimi pia ilinitokea, nilimchukia baba wa mtoto wangu, nilikuja kumpa mtoto ana miezi minne.
Wengine hupelekea kuwapenda waume zao na kuwataka 24/7.

Kaunga, Sijakuelewa hapo kwenye RED...
 
Jamani mi mnanikira kimawazo mi bado umri haujafika kujadili masuala ya uzinzi, tendo la ndoa, kufanya mapenzi, ngono na vitu kama hivyo mpaka nioe.
 
Kaunga, Sijakuelewa hapo kwenye RED...

Anamaanisha wanawake wengine wakiwa wajawazito hutaka sex masaa 24 au kila siku. Hapa kunakaukweli fulani. Mimi nina bahati mbaya coz mimba yamkewangu haitaki sex bt anataka awe namimi muda wote bila kufanya sex.
 
Anamaanisha wanawake wengine wakiwa wajawazito hutaka sex masaa 24 au kila siku. Hapa kunakaukweli fulani. Mimi nina bahati mbaya coz mimba yamkewangu haitaki sex bt anataka awe namimi muda wote bila kufanya sex.

Dah...hiyo kali....si utadondoka njiani?
 
Jamani mi mnanikira kimawazo mi bado umri haujafika kujadili masuala ya
uzinzi,tendo la ndoa ,kufanya mapenzi ,ngono na vitu kama hivyo mpaka nioe
Endelea kujifunika na hilo sweta mwaya wasijekukuharibu ...Lakini kama umri bado chabo za nini sasa?? Si unaona sasa madhara yake?? Ukome....
 
Hivi karibuni tulikutana kimwili na mpenzi wangu mpya kwa mara ya kwanza. Sasa kiukweli nilifurahia sana tendo na kufika kilele mara kadhaa lakini baada ya tendo hilo nikajikuta nimepata maumivu makali sana kwa dakika kadhaa (dk 15) kwenye tumbo la chini kama nataka kuanza siku zangu lakini siku zangu ni bado sana kama wiki mbili mbele na sina ujauzito. Na hii hali haijawahi kunitokea hata siku moja huko nyuma. Inaniogopesha nina tatizo gani?, naombeni msaada... nimepima magonjwa ya zinaa nimewambiwa nipo safi.
Asanteni sana.
 
Pole sana AM, ni yule mpenzi mpya uliyempata hapa JF baada ya ile post yako ya kutafuta?

Subiri wataalamu watakuja kukusaidia.
 
Siku zako wiki 2 mbele? Hujafanya siku ya ovalation wewe je ulitumia dawa ya penzi?
 
dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.

kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom