Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani jibu ashakupa mwenyewe kwamba hana hamu so hata zile hormones za kufanya vagina fluids zitoke zinakua hazihamasiki so kunakua kupo dry hvyo ukiingia lzm utamuumiza tu,relax n take notes yl I take tote of marijuana smoke gun smoke I just want paper!
Wewe unakuwa na hamu, mwenzio ameshapoteza hamu with time. Unatakiwa uende naye taratibu na Mazingira yawe mazuri.
Kuhusu kukosa hamu wakati wa ujauzito, itakuwa mimba imekukataa tu. Mimi pia ilinitokea, nilimchukia baba wa mtoto wangu, nilikuja kumpa mtoto ana miezi minne.
Wengine hupelekea kuwapenda waume zao na kuwataka 24/7.
Kaunga, Sijakuelewa hapo kwenye RED...
Anamaanisha wanawake wengine wakiwa wajawazito hutaka sex masaa 24 au kila siku. Hapa kunakaukweli fulani. Mimi nina bahati mbaya coz mimba yamkewangu haitaki sex bt anataka awe namimi muda wote bila kufanya sex.
Endelea kujifunika na hilo sweta mwaya wasijekukuharibu ...Lakini kama umri bado chabo za nini sasa?? Si unaona sasa madhara yake?? Ukome....Jamani mi mnanikira kimawazo mi bado umri haujafika kujadili masuala ya
uzinzi,tendo la ndoa ,kufanya mapenzi ,ngono na vitu kama hivyo mpaka nioe
Pole sana AM, ni yule mpenzi mpya uliyempata hapa JF baada ya ile post yako ya kutafuta?
Subiri wataalamu watakuja kukusaidia.