Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

yawezekana alikauaoapoa wewe nini? mbona umekimbilia huko?

Hapana boss wangu, huwa kabla ya kusoma thread napenda kuperuzi history ya muanzisha mada ili ninachochangia kiandane na hali halisi . . . .

Niaje Teacher? Mgomo umekwisha kwa Mkwala wa JK na Mahakama au Mkoba kawauza?
 
miye bado nimegoma wala siendi job na nimeandika notisi ya mwez mmoja kuacha kazi naisubmit j3. nimewaeleza sababu zangua kinagaubaga so wataisoma na kunijibu najua,
 
dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.

kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.

Mkuu unaongea kama una uzoefu wa uhakika kabisa. I mean unasema kuumwa mwili mzima hasa mbavu . . . . sijui kuumwa mapaja na mikono (sijui mikono inakuja vipi? lol), na kisha misuli ya tumbo . . . hebu funguka zaidi.
 
Ok, ni sababu zile zile za Kimaslahi au kuna nyingine? Bila shaka utakuwa umeshafikiria njia mbadala ya kuendesha maisha yako na familia.
 
hakuna nimechoka tu kufundisha nahtaj kufanya kitu kingine zaid so far nimebanwa zaid na tafiti zangu so nitawalostisha hawa wanafunzi kwasasa.
 
Mkuu unaongea kama una uzoefu wa uhakika kabisa. I mean unasema kuumwa mwili mzima hasa mbavu . . . . sijui kuumwa mapaja na mikono (sijui mikono inakuja vipi? lol), na kisha misuli ya tumbo . . . hebu funguka zaidi.

Upo boss,
 
alikupiga kipara yani nyama kwa nyama??????????//
 
dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.

kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.

Asante mpenzi,, maybe we overdid na ni kweli it was a long time kidogo sikua na mtu b4 him,,, asante kwa kuni assure
 
Eh kumbe wanawake siku hizi wanafikishwa kileleni? Jamaa yako mpya inaonekana dushelele lake ni zaidi ya nchi 8 maana aliingiza hadi mwisho angalia asije akakisogeza kizaza na utashindwa kuzaa hapo mbele ya safari,usiteme big G kwa karanga za kuonjeshwa!
 
Pole shosti ndio ukubwa, na inaelekea huyo jamaa shughuli yake hujaizowea,au pia ninihiliu yake ndefu ukilinganisha na ulizozizowea...
 
Back
Top Bottom