Naipuli
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 266
- 110
Hallow buddies ningependa kupata solution ya hili tatizo,kila nifanyapo sex na mtu wangu hulalamika anapata maumivu
chini ya kitovu..nimetumia nafasi hii kuleta mada hapa jamvini niweze pata pakuanzia ikiwa ntahitaji kumuona dakitari.
Kwavile tupo hapa kwa lengo la kusaidiana wacha tusaidiane.
Je, unazijua dalili za mwanamke aliyefikishwa kileleni (Climax/Orgasm).
Kama jibu ni ndiyo:-
Je, unaposex na huyo mwenzio huwa unamfikisha kileleni (Climax/Orgasm)?
Kama haumfikishi basi jitahidi kufanya hivyo kwani ni tiba tosha. Lakini pia kutofika kileleni kwa mwanamke ni sababu ya kupata kwa Lower Abdominal pain.
Na kama hizo dalili huzijui utarudi tena hapa.
Ahsante.