yawezekana alikauaoapoa wewe nini? mbona umekimbilia huko?
Hapana boss wangu, huwa kabla ya kusoma thread napenda kuperuzi history ya muanzisha mada ili ninachochangia kiandane na hali halisi . . . .
Niaje Teacher? Mgomo umekwisha kwa Mkwala wa JK na Mahakama au Mkoba kawauza?
dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.
kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.
miye bado nimegoma wala siendi job na nimeandika notisi ya mwez mmoja kuacha kazi naisubmit j3. nimewaeleza sababu zangua kinagaubaga so wataisoma na kunijibu najua,
Ok, ni sababu zile zile za Kimaslahi au kuna nyingine? Bila shaka utakuwa umeshafikiria njia mbadala ya kuendesha maisha yako na familia.
Mkuu unaongea kama una uzoefu wa uhakika kabisa. I mean unasema kuumwa mwili mzima hasa mbavu . . . . sijui kuumwa mapaja na mikono (sijui mikono inakuja vipi? lol), na kisha misuli ya tumbo . . . hebu funguka zaidi.
Upo boss,
Pole sana AM, ni yule mpenzi mpya uliyempata hapa JF baada ya ile post yako ya kutafuta?
Subiri wataalamu watakuja kukusaidia.
Siku zako wiki 2 mbele? Hujafanya siku ya ovalation wewe je ulitumia dawa ya penzi?
dada anna maria hali kama hiyo hutokea mara kwa mara hasa kama utakuwa ume ovadue hiyo sex. pia kama siku nyingi hujawah kufanya basi siku ukifanya lazima uumwe na hata mwili mzima huuma sana hasa mbavu, mapaja na mikono na misuli ya tumbo. ndani ya tumbo la uzazi pia panaweza kuuma kutokana na kuchubuka lakin baada ya muda hupona.
kwakua umeshapima na huna magonjwa ya ngono basi jua ni kwasababu ya zoezi husika tu mfano leo hii kama wewe siyo mtu wa mazoez ukikimbia laps 3 ama 4 kwenye football pitch lazima miguu na mwii wote uume la ukizoea basi huumii tena.
Boss wetu karibu tena, ama kweli ulipotea sana. Swalama lakini? Niaje jukwaa lako?
alikupiga kipara yani nyama kwa nyama??????????//
pole ana maria