Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Mhhhh!!! labda style nyingine ni za kuziepuka 🙂🙂🙂 fuatilia hili kwa karibu wakati huo huo ukiendelea kwa kifo cha mende tu 🙂🙂 na labda unaweza kugundua ni ipi ambayo hukuletea hii dhahama.

BAK, nimepitia Hosp kama tatu, huko nimeishia pewa dawa lakini tatizo bado halikomi. Na tena safari hii ndio kasi imezidi. Asante sana kwa ushauri labda nitafute tiba zaidi.
 
Uke kuvimba nadhani ni kawaida as long as baada ya muda unakuwa ok. Epuka kuingiza kidole huko ikulu, ndio inaleta maambukizi. Kama maumivu hayaongezeki ukipapasa na kuminya tumbo taratibu, inamaanisha kuna shida ndani. Huenda ukahitaji ultrasound ama hiyo culture nnayoongelea. Pole my dear, shemeji unaweza kumleta kwangu kwa muda nikutunzie ndoa, wasije wakamuiba mapapa ya mjini
King'asti ukweli ni kuwa mie si mtu wa mazoezi kiviile.

Na maumivu hayo huanzia kinenani mpaka ndani ya tumbo. Na huwa nikijaribu kuingiza kidole, hukuta uke umevimba si kawaida na maumivu ya tumbo makali.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhh!!! labda style nyingine ni za kuziepuka 🙂🙂🙂 fuatilia hili kwa karibu wakati huo huo ukiendelea kwa kifo cha mende tu 🙂🙂 na labda unaweza kugundua ni ipi ambayo hukuletea hii dhahama.

Unajua BAK kwa hili la style sikuliwazia kbs, najua labda urefu wa jamaa ndio huweza ibua matatizo mbalimbali, ila kuna baadhi ya style huwa situmii kbs kuogopa kutoboa kizazi....lol! 🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhhh! Internal organs were shifted from their original position to position A and then to position B 🙂🙂 lol!

Unajua BAK kwa hili la style sikuliwazia kbs, najua labda urefu wa jamaa ndio huweza ibua matatizo mbalimbali, ila kuna baadhi ya style huwa situmii kbs kuogopa kutoboa kizazi....lol! 🙂🙂
 

Madame, kwa maelezo haya ni wazi utakuwa una infections, ima UTI, candida albicans au trichomoniasis vaginalis, nenda kafanye VDRL, ukikutwa na treponema pallidum itakuwa ni 7bu tosha ya wewe kupata maumivu wakati wa ku do au baada.
 
Last edited by a moderator:

Mndele, kama kuvimba uke ni hali ya kawaida, basi wangu utakuwa una sifa. Maana mpaka mie mwenye mali naushangaa unavyovimba. Huwa najaribu kujipapasa chini ya kinena, na sihisi chochote zaidi ya maumivu makali.
Acha tu aniingie hvo hvo na maumivu yangu mndele nitavumilia, mjini hapa shoga, anaweza asirudi tena hata kama nitakuwa nimepona, mie nawe wa TA,twajuana
 
Mhhhhhh! Internal organs were shifted from their original position to position A and then to position B 🙂🙂 lol!

Kwa sababu ya style tu, labda ongeza na urefu wa jamaa. Mh! Usinishawishi nikukubalie BAK.
 
Last edited by a moderator:
Reactions: BAK
Madame...kwa maelezo haya ni wazi utakuwa una infections,ima UTI,candida albicans au trichomoniasis vaginalis,nenda kafanye VDRL,ukikutwa na treponema pallidum itakuwa ni 7bu tosha ya wewe kupata maumivu wakati wa ku do au baada.

Mkuu Kalunguine nashukuru sana. Tena umenikumbusha maana hayo magonjwa nilipima mara ya mwisho mwaka juzi pale Muhimbili kwa Dr Mahenge. Itabidi nirudi tena. Asante sana, nikienda nitarudi kukupa matokeo.
 
Last edited by a moderator:
Jamani acheni utani hata mke wangu Ana hii tatizo,nimempeleka kwa wataalam lakini hawajagundua kitu,ultrasound kacheki wapi wanasema.hana tatizo kabisa,ila mwisho wa mechi atashinda anaumwa siku nzima,hebu tusaidieni jamani.
 
Embu tuambie kidogo historia ya ugonjwa wako, je umekuanza tangu umeanza kushiriki tendo au kipindi cha hivi karibuni?
Na vipi huwa linakuuma endapo utamwagiwa shahawa ndani ya uke au hata ukitumia kondomu? Naomba tuanzie hapo BTW pole sana na tatizo kuwa na imani kuw siku moja utapona.
 
Jamani acheni utani hata mke wangu Ana hii tatizo,nimempeleka kwa wataalam lakini hawajagundua kitu,ultrasound kacheki wapi wanasema.hana tatizo kabisa,ila mwisho wa mechi atashinda anaumwa siku nzima,hebu tusaidieni jamani.

Mkuu, hilo ni kweli kabisa. Mie mwenyewe nimecheki btw hakuna kitu.
 

Asante nitonye. Nitumie mpira au nisitumie, maumivu yako palepale. Zitolewe nje au ndani bado nitapata maumivu makali tu. Japo mwanzo nilihisi mafuta mafuta yaliyopo kwenye mpira wa kiume yanachangia. Ila baada ya uchunguzi, nikagundua siyo.
 
Last edited by a moderator:
Madame ukipata dawa ni pm na mimi nimsaidie wife,maana siku hizi hata.game nacheza kwa kuvizia sana,

Pole sana.
Ila hiyo isiwe chanzo cha kutoka nje ya ndoa Ngongoseke. Ila kuna wadau wameshauri kitu hapo juu, hebu wa some.
 
Last edited by a moderator:
Asante nitonye.
Nitumie mpira au nisitumie, maumivu yako palepale. Zitolewe nje au ndani bado nitapata maumivu makali tu.
Japo mwanzo nilihisi mafuta mafuta yaliyopo kwenye mpira wa kiume yanachangia. Ila baada ya uchunguzi, nikagundua siyo.

Jaribu kumuona dokta ukapate kwanza vipimo huenda ukawa na maambukizi kwenye via vyako vya uzazi. Halafu jamaa kama ana ndude ndefu mwambie aingize nusu ili isiguze mlango.
 
Last edited by a moderator:
Embu jaribu kumuona dr matilda ngarina pale muhimbili atakusaidia sana ni mzuri kwa wanawake.
 
Jaribu kumuona dokta ukapate kwanza vipimo huenda ukawa na maambukizi kwenye via vyako vya uzazi. Halafu jamaa kama ana ndude ndefu mwambie aingize nusu ili isiguze mlango

Hahaha! nitonye jamani. Haya bhana, asante sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…