BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mhhhh!!! labda style nyingine ni za kuziepuka 🙂🙂🙂 fuatilia hili kwa karibu wakati huo huo ukiendelea kwa kifo cha mende tu 🙂🙂 na labda unaweza kugundua ni ipi ambayo hukuletea hii dhahama.
BAK, nimepitia Hosp kama tatu, huko nimeishia pewa dawa lakini tatizo bado halikomi. Na tena safari hii ndio kasi imezidi. Asante sana kwa ushauri labda nitafute tiba zaidi.