Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Alianza kulalamika ke,baada ya wiki kadhaa na me kafuata!Hospitali tumepimwa wanadai hawaoni kitu.
Viungo kama Mgongo magoti kiuno huwa vina majukumu mengi katika mwili wa mwanadamu yeyote yule ukaaji wako unaweza kukufanya kupata maumivu ya kiuno au hata Mgongo.

Pili linapokuja kwenye tendo unakuta mgonngo unakuwa na uchovu wa mihangaiko yako ikiwa ni pamoja na ukaaji vibaya unaopelekea maumivu kwenye mgongo wako na pia hata kiuno sasa ukija ukaongezea na mikao ya kwenye tendo unazidi kujenga maumivu katika hayo maeneo.

Wote wawili wanatakiwa wawe watu wa mazoezi ili kuzoesha misuli yao katika kumudu majukumu yao ya kawaida na pale wafanyapo tendo, mazoezi yatafanya viungo kuzoea na kuona kawaida ila kama mazoezi hakuna ukiongezea na mihangaiko hii ya tendo basi lazima mwil uhisi maumivu.

Pigeni mazoezi mwili ukizoea mazoezi hakuna maumivu utaona.
 
Nakushukuru sana kwa ushauri!Sasa hapo kwenye mazoezi ndiyo ninaomba uendelee kunipa darasa kwani mimi ni mtu ninayependa kujifunza.Kwa sasa nimeamua kuachana na gari,ninaenda kazini na kurudi kwa mguu.Kazi ninajitahidi kuzifanya nimesimama.Sasa kwa hapo niongezee nini mkuu?
 
Sasa hapo inatakiwa upate mazoezi yanayohusu hivyo viungo viwili na mwili kiujumla kama ntapata picha nitakuambatanishia hapa.
 
Nakushukuru sana kwa ushauri!Sasa hapo kwenye mazoezi ndiyo ninaomba uendelee kunipa darasa kwani mimi ni mtu ninayependa kujifunza.Kwa sasa nimeamua kuachana na gari,ninaenda kazini na kurudi kwa mguu.Kazi ninajitahidi kuzifanya nimesimama.Sasa kwa hapo niongezee nini mkuu?
77f75890458901feb823d475127f2cdb.jpg
a5e98f2ba782c9e57ccf9065e1c28c0a.jpg
2f8e27f0da4f9979975f9edf07069f6b.jpg
89475bff52c0b4bae3f5a9d238d57525.jpg

Tazama hapo utajifunza taratibu hadi uzoee.
 
Hilo tatizo linatakiwa kumtokea mwanamke... Ila kwa mwanaume daah.. Pole sana... Sijui hata unafanya nini mpaka kufikia huko...

Cc: mahondaw
 
Kumekuwa na malalamiko mengi sana yanayo wakuta wanandoa ambapo hupelekea kutokuwa na maelewano mazuri kati yao pale tu linapokuja swala la kushiriki tendo la ndoa na kutofurahia ndoa zao kwa ujumla kwa sababu ya tatizo la maumivu anayohisi mmoja kati ya wanandoa hao.

Hivyo basi twende sambamba tukajifunze kwa pamoja juu ya swala hilo kwa undani zaidi.

Maumivu wakati wa tendo la ndoa huweza kutokea kwa mwanamke au mwanaume, hali ya kuwa na tatizo hili huwakumba sana hasa wanawake ukilinganisha na wanaume.

sababu zinazopelekea kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa (dyspareunia) ni kama zifuatazo;

1. Kupungua au kukauka kabisa kwa ute ute ukeni (vaginal mucous) hali hii humpekekea mwanamke kuhisi maumivu kutokana na msuguano wakati wa tendo la ndoa vile vile huweza kumsababishia michubuko ukeni.

2. Maambukizi ya magonjwa katika via vya uzazi vya mwanamke kama vile fangasi sugu wa ukeni (vaginal fungus), mashambulizi ya maambukizi katika ukuta wa nje wa kizazi (endometriosis).

3. Ukomo wa hedhi (menopause),maumivu huwakumba pia wanawake waliofikia ukomo wa hedhi kutokana na kupungua kwa hali ya unyevuvyevu ukeni (vaginal moisture) na kuwa mkavu ukeni.

4. Kushiriki tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua, baada ya kuvifungua misuli na tishu za uke hulegea na huwa zinarudi katika hali yake pole pole, hivyo basi endapo mwanamke atashiriki tendo la ndoa wakati huo humpelekea kuhisi maumivu makali sana.

5. Matatizo ya kisaikologia (psychological factor)kama vile uoga (anxiety). msongo wa mawazo. Hata mwanaume huweza kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa wa wakati wa kutoa mbegu (Ejaculation), maumivu hayo hutokana na maambukizi au vidonda kwenye (gland)ambazo huruhusu mbegu kutoka (prostate gland). Wakati mwingine maumivu kwa wanaume husababishwa na maambukizi kwenye ngozi inayofunika uume.

*Mpendwa rafiki, magonjwa ya zinaa huchangia tatizo hili kwa kiasi kikubwa, hivyo ni vyema kwenda na mwenza wako mkachunguzwe na kutibiwa kwa pamoja

mara nyingi tiba hufanyika kutokana na tatizo husika.

Ni namna gani unaweza kujikinga na tatizo hili?

Ni muhimu kuzingatia usafi kwani hupunguza uwezekano wa kupata maambukizi.

Kila mtua anatakiwa kumuandaa mwenza wake kabla ya kushiriki tendo la ndoa ambalo husaidia kuzalishwa kwa maji maji ya kulainisha njia ya uzazi (ukeni).

Kuepuka kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua, ni vyema kushiriki tendo la ndoa angalau wiki sita baada ya kujifungua.

Tiba na ushauri

Endapo mwanamke au mwanaume anapokuwa na tatizo la maumivu makali wakati wa tendo la ndoa, ni vyema akaenda kwenye kituo cha afya na kuonana na mtaalamu wa afya ya uzazi na mtoto kwaajili ya ushauri, vipimo na matibabu.
 
Shukrani mkuu kwa somo. Lakini je, urefu na unene/ukubwa wa uume nao huchangia tatizo hili? Hususani maumivu kwa mwanamke runna
 
Shukrani mkuu kwa somo. Lakini je, urefu, na ukunene/ukubwa wa uume nao huchangia tatizo hili? Hususani maumivu kwa mwanamke runna
Kama Mwanamke hasumbuliwi na chochote kiafya, Unene / ukubwa wa uume unaweza kuchangia maumivu kwake kama hukumuandaa vyema...
Kama mwanaume unajua Maumbile yako makubwa na unaeweza muumiza mwenza wako basi yakupasa kujua kuyatumia vyema..
 
Maana kuna mwana nzengo mmoja mtaani kwetu huko kijijini kwa wazee, yeye mpaka hivi sasa hakai na mwanamke na sababu ni kuwasababishia maumivu wanawake pindi wanapojamiiana, na sababu ni uume mrefu. Yaani jamaa akijisaidia haja kubwa, uume unalamba sakafu. Hili suala limemfanya kwa sasa akataliwe na kukimniwa na wanawake.

Ila yote ya yote, tunashukuru kwa somo zuri.
 
Back
Top Bottom