Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Tatizo la Wanawake Kupata Maumivu Wakati na Baada ya Kujamiiana: Fahamu Sababu na Suluhisho la Tatizo

Pole sana lakini kwani hizo mbio na mchaka mchaka ni lazima, mimi nadhani jaribu tu kutembea uone hali itakuwaje na ikishindikana basi ajiri mtu uwe unamtuma ashiriki hizo mbio ndefu kwa niaba yako, napita tu.
 
Madame B,

Pole sana ndugu, hilo tatizo linawasumbua akina mama walio wengi, na mara nyingi hutibika kwa dawa za asilia. Kwenye shughuli zangu nimeshakutana na wa2 wengi wanaosumbuliwa na tatizo kama la kwako na wote wamefanikiwa kupona kabisa hivo na wewe usiwe na wasiwasi tatizo lako linatibika kabisa.
 
Hii hali si ya kawaida, nenda hospitali haraka sana. Pita hospitali tatu tofauti zenye wataalamu wa magonjwa ya wanawake.

I think pia angepita kwenye mitalimbo mingine kama mitatu tofauti yenye wajuzi tofauti...then aseme kama zote anapata maumivu!
 
Pole sana lakini kwani hizo mbio na mchaka mchaka ni lazima, mimi nadhani jaribu tu kutembea uone hali itakuwaje na ikishindikana basi ajiri mtu uwe unamtuma ashiriki hizo mbio ndefu kwa niaba yako, napita tu

Jamani mwathu, kwa niaba yangu? Mh!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana ndugu, hilo tatizo linawasumbua akina mama walio wengi, na mara nyingi hutibika kwa dawa za asilia. Kwenye shughuli zangu nimeshakutana na wa2 wengi wanaosumbuliwa na tatizo kama la kwako na wote wamefanikiwa kupona kabisa hivo na wewe usiwe na wasiwasi tatizo lako linatibika kabisa. Nakuomba unitafute kwenye: Mtotowakiha@gmail.com ili nione namna gani naweza kukusaidia.

Asante NCHABIRONDA, nitakutafuta mpenzi.
 
Last edited by a moderator:
I think pia angepita kwenye mitalimbo mingine kama mitatu tofauti yenye wajuzi tofauti...then aseme kama zote anapata maumivu!

Mdogo wangu Mentor, dadayo mimi. Ngoja ukirudi nyumbani unieleye kwa urefu.
 
Last edited by a moderator:
Physical condition that may coz sex hurt after, including:
* Pelvic Inflammatory
Disease
* Endometriosis
* Ovarian cysts
* Interstitial cystitis
* Vaginismus
* Vulvodynia
* Some sexually
transmitted diseases
* Urinary infections
* Yeast infections
* Vaginal dryness
* Physical injury and
chronic pain
 
Physical condition that may coz sex hurt after, including:
* Pelvic Inflammatory
Disease
* Endometriosis
* Ovarian cysts
* Interstitial cystitis
* Vaginismus
* Vulvodynia
* Some sexually
transmitted diseases
* Urinary infections
* Yeast infections
* Vaginal dryness
* Physical injury and
chronic pain

Asante mpendwa wangu.
 
Back
Top Bottom