Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee nenda hospital
Isijekuwa uterus inataka kuanguka, kwani una watoto?
Hii hali si ya kawaida, nenda hospitali haraka sana. Pita hospitali tatu tofauti zenye wataalamu wa magonjwa ya wanawake.
Pole sana lakini kwani hizo mbio na mchaka mchaka ni lazima, mimi nadhani jaribu tu kutembea uone hali itakuwaje na ikishindikana basi ajiri mtu uwe unamtuma ashiriki hizo mbio ndefu kwa niaba yako, napita tu
Pole sana ndugu, hilo tatizo linawasumbua akina mama walio wengi, na mara nyingi hutibika kwa dawa za asilia. Kwenye shughuli zangu nimeshakutana na wa2 wengi wanaosumbuliwa na tatizo kama la kwako na wote wamefanikiwa kupona kabisa hivo na wewe usiwe na wasiwasi tatizo lako linatibika kabisa. Nakuomba unitafute kwenye: Mtotowakiha@gmail.com ili nione namna gani naweza kukusaidia.
Ni Kweli, pia suala la Compatible of ur depth and his length ni muhimu.
ulicheki fibroids kama unazo?
Dadangu, mficha uchi hazai. Mimi mdogo wako ni dakitari.
Physical condition that may coz sex hurt after, including:
* Pelvic Inflammatory
Disease
* Endometriosis
* Ovarian cysts
* Interstitial cystitis
* Vaginismus
* Vulvodynia
* Some sexually
transmitted diseases
* Urinary infections
* Yeast infections
* Vaginal dryness
* Physical injury and
chronic pain