mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Tulijadili hili kwanza, hilo la low sperm count lifungulie uzi baadae😂Wanaume lawama zote kwa wanawake, wakati baadhi yao wana low sperm count...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulijadili hili kwanza, hilo la low sperm count lifungulie uzi baadae😂Wanaume lawama zote kwa wanawake, wakati baadhi yao wana low sperm count...
Hizo ni Imani potofu juu ya uzazi wa mpango. Nendeni hospitali kujua chanzo Cha kutoshika mimba
Zinahusika.Dr Restart endocrine disruptors hazihusiki hapa? maana naskia zinasababisha low sperm count kwa wanaume.....
Namaanisha yaani, zinahusika kwa wanawake kutoshika mimba?Zinahusika.
Na siyo unasikia, bali zimethibitika rasmi kwamba zinasabisha siyo tu low sperm count lakini pia sperm quality.
Lakini, swali la muhimu ni je ni kwa kiwango gani? Jibu lake linategemeana na sababu kadhaa. Ikiwemo kiwango cha exposure cha kemikali husika na mambo mengine kama genetics. Ndiyo kusema, endocrine disruptors inasabisha low sperm count kwa kiwango kidogo sana.
Lifestyle ya mtu ikiwemo ulaji usiofaa, kutofanya mazoezi na magonjwa ya zinaa ndiyo sababu haswa za kiwango kidogo cha mbegu.
Mkuu,Umalaya
Wanawake wamekuwa na mabwana na madanga wengi na wote anafanya nao ngono
Imagine manzi ana madanga 7 kwa mwezi atafanya ngono mara ngapi
Mwisho wa siku analazimika kutumia hizo mbinu za kuzuia mimba. Matokeo kushika mimba inakuwa changamoto
Amini mwanamke akiwa na mtu mmoja hahitaji hizo mambo maana kalenda tu na labda condom inatosha
Mkuu what are you talking about? watu wamekuwa wakilana all the time since Adam, istoshe Hawa ndio alitaka azagamuliwe, so Toka enzi hizo walikuwa wakiliwa vizuri tu ni vile hakukua na wasapu au gesti nyingi kama skuizi ila vichaka vina habari zao.Umalaya
Wanawake wamekuwa na mabwana na madanga wengi na wote anafanya nao ngono
Imagine manzi ana madanga 7 kwa mwezi atafanya ngono mara ngapi
Mwisho wa siku analazimika kutumia hizo mbinu za kuzuia mimba. Matokeo kushika mimba inakuwa changamoto
Amini mwanamke akiwa na mtu mmoja hahitaji hizo mambo maana kalenda tu na labda condom inatosha
Sisi sote ni binadamu siyo?Namaanisha yaani, zinahusika kwa wanawake kutoshika mimba?
Ni nini hizo endocrine disruptor?Zinahusika.
Na siyo unasikia, bali zimethibitika rasmi kwamba zinasabisha siyo tu low sperm count lakini pia sperm quality.
Lakini, swali la muhimu ni je ni kwa kiwango gani? Jibu lake linategemeana na sababu kadhaa. Ikiwemo kiwango cha exposure cha kemikali husika na mambo mengine kama genetics. Ndiyo kusema, endocrine disruptors inasabisha low sperm count kwa kiwango kidogo sana.
Lifestyle ya mtu ikiwemo ulaji usiofaa, kutofanya mazoezi na magonjwa ya zinaa pamoja na kutobalance kwa hormones ndiyo sababu haswa za kiwango kidogo cha mbegu.
Uko sahihi mkuu, sikupingi haina kula pipi na ganda lake sio? 😅Mkuu,
Kalenda na withdrawal ndio mpango mzima. Kondom ni heri nikalala zangu ndani.
Mzee tunakulana tangu enzi hizo sikatai, wanachoogopa mademu wengi miaka hii ni mimbaM
Mkuu what are you talking about,?watu wamekuwa wakilana all the time since Adam,istoshe Hawa ndio alitaka azagamuliwe,so Toka enzi hizo walikuwa wakiliwa vizuri tu ni vile hakukua na wasapu au gesti nyingi kama skuizi ila vichaka vina habari zao.
wapo wanaoshindwa kushika kwa mara ya kwanza, sababu mojawapo ni aidha, kulogwa, jini mahaba au ametumia njia za uzazi. wale wanaoshindwa kushika wakati walishawahi kuzaa pia ni jini mahaba, kulogwa au njia za uzazi wa mpango. wazungu tangu kitambo sana wamekuwa na nia ya kupunguza uzazi kwa watu weusi kwasababu wao asilimia kubwa wameshakuwa wazee, wakati africa asilimia kubwa ni vijana, wao familia inaweza kuwa na watoto wawili akizidi sana wanne, ila afrika ni kawaida kuwa na watoto 8 hadi 10, na vijijini huko hadi 12. wanaamini baada ya muda, wanadamu wengi zaidi duniani watakuwa weusi na icho wazungu hawapendi wao waonekane minority. na kuna uwezekano dunia siku za baadaye ikawa na watu weusi na waarabu wengi zaidi.Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko yao ilivurugika na kushika mimba ya pili ni shida kinoma.
Ukisikiliza wataalamu wanasema P2 ndio chanzo, ila hizi njia za kuzuia mimba ikiwemo vijiti mmefanyia utafiti wa kutosha kiasi gani?
Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.
I need answers.
Endocrine disruptor ni kemikali zinazoingilia mfumo wa endocrine mwilini.Ni nini hizo endocrine disruptor?
Kisamaki ndio nini mkuu? Sisi wa vijijini hatujaelewa hili neno linauhusiano gani na kushindwa kushika mimba?Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.
I need answers.
JoannahUkitaka mwanamke mzuri mwenye rutuba nenda vijijini huko mkuu haya mambo ya p2 na vijiti sidhani kama yapo.
Hawa wa daslaam sio wa kutengenezea familia hasahasa wa kuchezea tu
Ila hivyo vijiji mnavyosema ni vipiMambo ni vangavanga, bush kuna nafuu na tofauti kubwa ni life style ya bush na town
Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko yao ilivurugika na kushika mimba ya pili ni shida kinoma.
Ukisikiliza wataalamu wanasema P2 ndio chanzo, ila hizi njia za kuzuia mimba ikiwemo vijiti mmefanyia utafiti wa kutosha kiasi gani?
Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.
I need answers.
It's true kwenye madawa hapo!Tatizo linaanzia kwa Wanaume sisi pia tuna shida.
Nikirudi kwa hawa wadada.. wengi wanatumia mavitu mengi sana kuanzia dawa za kuzuia au kutoa mimba, dawa za kubana uchi na kusafisha.
Hapo sijagusia Shisha na ulevi, Sonona na Magonjwa ya Afya ya akili.
Magonjwa hujawaza?Mkuu,
Kalenda na withdrawal ndio mpango mzima. Kondom ni heri nikalala zangu ndani.