Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Dr Restart endocrine disruptors hazihusiki hapa? maana naskia zinasababisha low sperm count kwa wanaume.....
Zinahusika.

Na siyo unasikia, bali zimethibitika rasmi kwamba zinasabisha siyo tu low sperm count lakini pia sperm quality.

Lakini, swali la muhimu ni je ni kwa kiwango gani? Jibu lake linategemeana na sababu kadhaa. Ikiwemo kiwango cha exposure cha kemikali husika na mambo mengine kama genetics. Ndiyo kusema, endocrine disruptors inasabisha low sperm count kwa kiwango kidogo sana.

Lifestyle ya mtu ikiwemo ulaji usiofaa, kutofanya mazoezi na magonjwa ya zinaa pamoja na kutobalance kwa hormones ndiyo sababu haswa za kiwango kidogo cha mbegu.
 
Namaanisha yaani, zinahusika kwa wanawake kutoshika mimba?
 
Mkuu,
Kalenda na withdrawal ndio mpango mzima. Kondom ni heri nikalala zangu ndani.
 
M
Mkuu what are you talking about? watu wamekuwa wakilana all the time since Adam, istoshe Hawa ndio alitaka azagamuliwe, so Toka enzi hizo walikuwa wakiliwa vizuri tu ni vile hakukua na wasapu au gesti nyingi kama skuizi ila vichaka vina habari zao.
 
Namaanisha yaani, zinahusika kwa wanawake kutoshika mimba?
Sisi sote ni binadamu siyo?

Kemikali yeyote inayomuathiri mwanaume bila shaka itamuathiri mwanamke.

Lakini kwa muktadha wa afya ya uzazi, tunatofautiana juu ya athari zenyewe.

Ndiyo kusema, endocrine disruptors huwaathiri wanawake kwa namna yao. Kwa wanawake hubadili mzunguko wa hedhi, matatizo wakati wa ujauzito na kuongeza uwezekano wa kupata saratani ya matiti. Zipo athari nyingine kibao.
 
Ni nini hizo endocrine disruptor?
 
M

Mkuu what are you talking about,?watu wamekuwa wakilana all the time since Adam,istoshe Hawa ndio alitaka azagamuliwe,so Toka enzi hizo walikuwa wakiliwa vizuri tu ni vile hakukua na wasapu au gesti nyingi kama skuizi ila vichaka vina habari zao.
Mzee tunakulana tangu enzi hizo sikatai, wanachoogopa mademu wengi miaka hii ni mimba
 
wapo wanaoshindwa kushika kwa mara ya kwanza, sababu mojawapo ni aidha, kulogwa, jini mahaba au ametumia njia za uzazi. wale wanaoshindwa kushika wakati walishawahi kuzaa pia ni jini mahaba, kulogwa au njia za uzazi wa mpango. wazungu tangu kitambo sana wamekuwa na nia ya kupunguza uzazi kwa watu weusi kwasababu wao asilimia kubwa wameshakuwa wazee, wakati africa asilimia kubwa ni vijana, wao familia inaweza kuwa na watoto wawili akizidi sana wanne, ila afrika ni kawaida kuwa na watoto 8 hadi 10, na vijijini huko hadi 12. wanaamini baada ya muda, wanadamu wengi zaidi duniani watakuwa weusi na icho wazungu hawapendi wao waonekane minority. na kuna uwezekano dunia siku za baadaye ikawa na watu weusi na waarabu wengi zaidi.
 
Ni nini hizo endocrine disruptor?
Endocrine disruptor ni kemikali zinazoingilia mfumo wa endocrine mwilini.

Endocrine huhusika katika utengenezaji na uhifadhi wa hormone mwilini. Hapa unazungumzia tezi ya pituitari, thyroid, adrenali, nk

Hizo kemikali zinapatikana katika dawa za kuulia wadudu mashambani, kwenye plastiki, dawa za kuifadhi na kutunza chakula, nk.

Sasa zikiingilia huo mfumo, zinasabisha athari kadha wa kadha.
 
Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.

I need answers.
Kisamaki ndio nini mkuu? Sisi wa vijijini hatujaelewa hili neno linauhusiano gani na kushindwa kushika mimba?
 


Swala la afya ni personal, kutunza afya ni jukumu lako.
 
It's true kwenye madawa hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…