Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Shida ilikuwa ni elimu. Tulichelewa kidogo ila sasa mambo yanabadilika kwa kasi ndiyo maana hata CCM wanahaha. Mara Gwajima, mara Bashite, mara Biteko...ngoja tuone lakini nadhani kutapambazuka tu muda si mrefu!

NB: Ukiona binti huko ana shida ya kupata mimba basi mwambie tu anitafute. Nampa dawa anakunywa mara moja tu tena kijiko kikubwa kimoja basi kwisha kazi....hata mapacha akitaka 😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
🤣
Mi nataka dawa msukuma, nataka mapacha...
Cha msingi isiwe na masharti km za waganga wa kienyeji
 
Mkuu uzazi wa mpango hauna tatizo kabisa kama utafuata maelekezo. Sema tatizo linakuja kwamba kuna baadhi ya hizo njia baada ya kuacha kuzitumia inakuchukua muda mrefu kushika ujauzito. Hii ni kutokana kwamba inabidi iishe kabisa mwilini mwako ili mzunguko wako urudi normal.

Hapa ni mtu tu anapaswa kujua atumie uzazi wa mpango upi na malengo yake ni yapi. Na pia baada ya kuacha kutumia ni vyema akutane na madaktari wa wanawake ili waweze kumsaidia ushauri.

Tatizo watu hawana elimu ya kutosha anataka akiacha kutumia leo mwezi huo huo au mwezi ujao ashike ujauzito. Ndio inawezekana ila ni kutokana na aina ya mpango ulioutumia na umeutumia ndani ya muda gani.

Suala la kuharibika kwa mimba hilo ni kawaida. Na hapa unaweza ukawa haujafanya kitu chochote kusababisha. Unaambiwa asilimia 10 hadi 20 ya mimba zote huwa zinaishia kwenye miscarriage na asilimia nyingi anayepata hizo miscarriage anakuwa hajasababisha ni mambo ya chromosomal abnormalities na umri pia.
Comment yako imejitahidi kudadavua kila kitu. Inshort majibu yote ya mleta mada yapo hapa. Umeeleza kama medical personnel jinsi njia za uzazi wa mpango zinavyoaffect mwili.

Cha kushangaza wengi hawajaizingatia. Hii inatoa taswira ya upeo walionao wachangiaji wengi katika hii platform na jamii kwa ujumla.

Anyway chukua maua yako kwa kutoa elimu malidhawa kabisa [emoji257]
 
Kabla hujamuamini mwanamke kiasi hiki hakikisha ana kiwango cha juu kiakili na form four awe alipata Div one ya pt 7!
Suala la kalenda wewe mwanaume ndie uwe mwalimu wa mwanamke ukimuacha mwenyewe utaumia, hata kama alikuwa mwalimu wa biology hawezi kusimamia suala hilo kwa asilimia 100%
 
🤣
Mi nataka dawa msukuma, nataka mapacha...
Cha msingi isiwe na masharti km za waganga wa kienyeji
Hapana. Hii ni dawa tu naitengeneza mimi mwenyewe unaona. Haina manuizo wala nini ila ina sharti moja tu. Huyo mtunga mapacha wako kuna vyakula itabidi avitumie kwa wiki mbili kabla hajarutubisha hilo yai lako. Na katika hizo wiki mbili asile mbususu wala kupiga nyeto. Akija kukupasua kwenye siku za hatari hata triplets unapata. Nina rekodi nzuri sana na hii dawa nikiwemo mimi mwenyewe kwa mke wangu.
 
Hapo sawa
Nitakutafuta
😅
Nipate mapacha wa kike na kiume
 
Hapo unazungumzia hawa wala viepe na soda au?
 
Attachments

  • 20231109_231127.jpg
    20231109_231127.jpg
    89.1 KB · Views: 3
Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko yao ilivurugika na kushika mimba ya pili ni shida kinoma.

Ukisikiliza wataalamu wanasema P2 ndio chanzo, ila hizi njia za kuzuia mimba ikiwemo vijiti mmefanyia utafiti wa kutosha kiasi gani?

Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.

I need answers.
CHAI
 
Comment yako imejitahidi kudadavua kila kitu. Inshort majibu yote ya mleta mada yapo hapa. Umeeleza kama medical personnel jinsi njia za uzazi wa mpango zinavyoaffect mwili.

Cha kushangaza wengi hawajaizingatia. Hii inatoa taswira ya upeo walionao wachangiaji wengi katika hii platform na jamii kwa ujumla.

Anyway chukua maua yako kwa kutoa elimu malidhawa kabisa [emoji257]

Asante mkuu[emoji1431][emoji1431]
 
Ukitaka kuyaelewa haya, nenda kasome ripoti ya Henry Kissinger ya mwaka 1973 ila kidogo tu nikudokezee mambo machache.

. NJIA ZOTE ZA UZAZI WA MPANGO

. CHANJO

. UTAMBULISHWAJI WA VYAKULA VYA KIMAABARA

NB. Ukiwa wa kuletewa kila kitu mezani hutofahamu chochote, hata hao unaowaita wataalamu wetu wa afya anza na Waziri wao mpaka huku chini, hakuna siku watakuambia ukweli halisi juu ya hili.
 
ripoti ya utafiti please tumechoka na porojo na uzushi wenu humu JF. Acha kuishi kwa hisia ndugu lete ripoti mah
ripoti ya utafiti please tumechoka na porojo na uzushi wenu humu JF. Acha kuishi kwa hisia ndugu lete ripoti mahsusi!
Mkuu wazagamuzi ni sisi tunaoleta utafiti hapa,unataka wazungu waje waseme ndio uone ni research enough?Nakupa 5yrs utaona mambo ya ajabu.
 
Hapana. Hii ni dawa tu naitengeneza mimi mwenyewe unaona. Haina manuizo wala nini ila ina sharti moja tu. Huyo mtunga mapacha wako kuna vyakula itabidi avitumie kwa wiki mbili kabla hajarutubisha hilo yai lako. Na katika hizo wiki mbili asile mbususu wala kupiga nyeto. Akija kukupasua kwenye siku za hatari hata triplets unapata. Nina rekodi nzuri sana na hii dawa nikiwemo mimi mwenyewe kwa mke wangu.
😁
 
Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko yao ilivurugika na kushika mimba ya pili ni shida kinoma.

Ukisikiliza wataalamu wanasema P2 ndio chanzo, ila hizi njia za kuzuia mimba ikiwemo vijiti mmefanyia utafiti wa kutosha kiasi gani?

Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.

I need answers.
Tatizo ni kubwa kuliko ulivyoelezaaa
 
Ukitaka kuyaelewa haya, nenda kasome ripoti ya Henry Kissinger ya mwaka 1973 ila kidogo tu nikudokezee mambo machache.

. NJIA ZOTE ZA UZAZI WA MPANGO

. CHANJO

. UTAMBULISHWAJI WA VYAKULA VYA KIMAABARA

NB. Ukiwa wa kuletewa kila kitu mezani hutofahamu chochote, hata hao unaowaita wataalamu wetu wa afya anza na Waziri wao mpaka huku chini, hakuna siku watakuambia ukweli halisi juu ya hili.
Chief we una maua yako kwa Mungu
 
Back
Top Bottom