Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Tatizo la wanawake kushindwa kushika mimba linazidi kuwa kubwa

Yaani mkuu tatizo ni la wanawake bt wew unatuingiza hadi sisi wanaume

Wanaume wanaingia vip hapa kwa mwanamke mwenyewe kuamua kutumia hivyo vitu na kupelekea kutoshika mimba?

Sijui ni kwanin bt % nyingi ya matatizo ya mwanamke ni lazima mwanaume ahusishwe na kuonekana mwanaume amechangia.. This mentality has to end
Skia kijana.. WANAUME sahiv tunapitia changamoto ya kubebesha wanawake MIMBA.
 
Ndo maana nikakazia kuhusu style ya maisha sio tabia, ulaji,mazoezi na madawa iko tofuti na mjini, vijijini vyakula vingi ni vya asili, mazoezi wanafanya kwenye kazi kutembea nk, madawa wanawake wachache wanatumia uzazi wa mpango ama hizi p2 kiholela ama la madawa mengineyo si sana km town hata takwimu za uzazi kijijini ziko juu kuliko mijini ililetwa kujadiliwa humu wiki chache zilizopita na dar iko mwisho katika hilo si kwamba hawazagamuani ila wanazuia mimba kwa mbinu nyingi
Njooni huku Bariadi Simiyu muone kinachofanyika - kuanzia misosi na mengineyo. Yaani ni kufyatua tu sisi hatuna shida 💪💪💪

Kuna dawa mwanamke anakunywa mara moja tu asipopata mimba basi huyo labda hana mayai wallahi!

IMG-20231102-WA0037.jpg
 
Njia za kuzuia mimba ukitoa (calendar, withdraw) zina madhara makubwa ikiwemo tatizo la hedhi, uke mkavu, joto la uke kupungua au kutepeta, uvimbe kwenye kizazi.

BAbu/Bibi zetu hawakutumia njia hizi za kisasa lakini walikua wanazaa watoto kwa kupishana umri vizuri tu.

Njia za kisasa sio salama.
Cc ERoni
Uvimbe kwenye kizazi ni janga kubwa mno kwa wanawake wa mijini kwa sasa
 
Njooni huku Bariadi Simiyu muone kinachofanyika - kuanzia misosi na mengineyo. Yaani ni kufyatua tu sisi hatuna shida 💪💪💪

Kuna dawa mwanamke anakunywa mara moja tu asipopata mimba basi huyo labda hana mayai wallahi!

View attachment 2808100
Sekta hiyo hamna mpinzani kabisa nyie ndo maana nchi hii kisiasa mmekuwa mtaji kwa CCM miaka yote hiyo siku mkiamua kutubadilishia tutawashukuru sana, population ya wasukuma iko juu sana kuliko kabila lolote ukanda mzima nadhani wa Afrika mashariki
 
Shida ilikuwa ni elimu. Tulichelewa kidogo ila sasa mambo yanabadilika kwa kasi ndiyo maana hata CCM wanahaha. Mara Gwajima, mara Bashite, mara Biteko...ngoja tuone lakini nadhani kutapambazuka tu muda si mrefu!

NB: Ukiona binti huko ana shida ya kupata mimba basi mwambie tu anitafute. Nampa dawa anakunywa mara moja tu tena kijiko kikubwa kimoja basi kwisha kazi....hata mapacha akitaka 😁😁🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Mimi hapa nataka mapacha wa kikeee😂😂
 
Back
Top Bottom