financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 17,776
- 42,402
Inaogopesha hii tafiti🙆, nadhani na vyakula and life style siku hizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui jamaniHaki..... Nimecheka.... Sasa mimba ni mara moja baada ya miaka 3 au minne.... Siku zinazobaki tunataka kukojoaz.... Ila umenena vema, hivi unajua raha yake lakini...😅😅😅😅
Boss mwanaume kumpa mimba mwanamke ni tatizo la mwanaume au mwanamke kutokua muangalifu?Skia kijana.. WANAUME sahiv tunapitia changamoto ya kubebesha wanawake MIMBA.
Mimba inategemea pande zote KE na ME.Boss mwanaume kumpa mimba mwanamke ni tatizo la mwanaume au mwanamke kutokua muangalifu?
Katika hao wawili ni nani asipokuwa muangalifu anaweza kupelekea mimba?Mimba inategemea pande zote KE na ME.
Kama huna Mbegu au udhaifu wa Mbegu huwezi mtia mwanamke Mimba.
Wote.Katika hao wawili ni nani asipokuwa muangalifu anaweza kupelekea mimba?
Ushawai kuona mwanaume kwa mwamposa anatafuta mtoto shidah sio mwanaume shidah mara nyingi ipo kwa mwanamke kupokea sperm na kuwa mtotWanaume lawama zote kwa wanawake, wakati baadhi yao wana low sperm count...
Wanawake kwenda kwa maombi sio kuwa wao ndio tatizo ila wanaomba kwa ajili yao na waume zao ..Ushawai kuona mwanaume kwa mwamposa anatafuta mtoto shidah sio mwanaume shidah mara nyingi ipo kwa mwanamke kupokea sperm na kuwa mtot
wapo wanaoshindwa kushika kwa mara ya kwanza, sababu mojawapo ni aidha, kulogwa, jini mahaba au ametumia njia za uzazi. wale wanaoshindwa kushika wakati walishawahi kuzaa pia ni jini mahaba, kulogwa au njia za uzazi wa mpango. wazungu tangu kitambo sana wamekuwa na nia ya kupunguza uzazi kwa watu weusi kwasababu wao asilimia kubwa wameshakuwa wazee, wakati africa asilimia kubwa ni vijana, wao familia inaweza kuwa na watoto wawili akizidi sana wanne, ila afrika ni kawaida kuwa na watoto 8 hadi 10, na vijijini huko hadi 12. wanaamini baada ya muda, wanadamu wengi zaidi duniani watakuwa weusi na icho wazungu hawapendi wao waonekane minority. na kuna uwezekano dunia siku za baadaye ikawa na watu weusi na waarabu wengi zaidi.
Njia za kuzuia mimba ukitoa (calendar, withdraw) zina madhara makubwa ikiwemo tatizo la hedhi, uke mkavu, joto la uke kupungua au kutepeta, uvimbe kwenye kizazi.
BAbu/Bibi zetu hawakutumia njia hizi za kisasa lakini walikua wanazaa watoto kwa kupishana umri vizuri tu.
Njia za kisasa sio salama.
Cc ERoni
Hivi Wanawake wa dar tumewakosea nini?
Joannah sisy kwan tunakosea wapi? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ma P2 kila siku changanya na Ma K vant, Konyagi, na utoaji mimba holela lazima wanashikaje mimba sasa!
Hili linaukwer ndani yake ukiangalia saiv wamegundua kuna dawa mbadara wa P2 kuzuia mimba hii sijui wameitoa wapi🤣🤣🤣Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko yao ilivurugika na kushika mimba ya pili ni shida kinoma.
Ukisikiliza wataalamu wanasema P2 ndio chanzo, ila hizi njia za kuzuia mimba ikiwemo vijiti mmefanyia utafiti wa kutosha kiasi gani?
Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.
I need answers.
Niaje wakuu kumekuwapo na wimbi la wanawake kutoshika mimba mitaani na hata wakishika zinatoka, wataalamu wamekaa kimya ila it's gonna be a disaster soon. Nimeishi na wanawake ambao wamekuwa wakiweka vijiti kuzuia ujauzito, ila kwa nyakati tofauti nimeona mabadiliko ambayo si mazuri, mizunguko yao ilivurugika na kushika mimba ya pili ni shida kinoma.
Ukisikiliza wataalamu wanasema P2 ndio chanzo, ila hizi njia za kuzuia mimba ikiwemo vijiti mmefanyia utafiti wa kutosha kiasi gani?
Maana dalili ni nyingi, kila mtu sasa hivi analalamika kisamaki, haya mambo hayakuwa miaka iliyopita. Watu tunasingizia dada zetu kuwa vicheche kumbe ni haya mambo ya Kizungu.
I need answers.
Aisee huko vijijini ndo hali mbaya..Watoto darasa la sita wanaanza kuweka vijiti na kuchoma sindano.Ukitaka mwanamke mzuri mwenye rutuba nenda vijijini huko mkuu haya mambo ya p2 na vijiti sidhani kama yapo.
Hawa wa daslaam sio wa kutengenezea familia hasahasa wa kuchezea tu
Kwakwel 😂😂Ana hoja asipuuzwe
Htr sana wapo kasiPole yao sana...