Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito


Madame S jana alipewa dawa ya kienyeji na imemsaidia mpka sasa.
 
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu?

Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.
Sisi kwetu mtu akiumwa lile tumbo la period ndio hua tunasema tumbo la chango na husema the same kama mtoa mada alivyosema kua had ujifungue mtoto ndio maumivu hupungua kabisa haya tueleze tufaham kiundani.
 
Chango ndio ugonjwa gani wakuu

Aisee mi sio mzuri kuelezea ila wakati wa period hawa ndugu zetu huwa wanapata maumivu sana na iyo tatizo ndio linaanza hapo maumivu makali kutapika na kizunguzungu.
 
Aisee mi sio mzuri kuelezea ila wakati wa period hawa ndugu zetu huwa wanapata maumivu sana na iyo tatizo ndio linaanza hapo maumivu makali kutapika na kizunguzungu
Sawa nimeelewa, hii inaitwa dysmenorrhoea kitaalamu.
 
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu..?

Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.
Bora maana me huwa sielewi kabisa hiyo chango ndo nini?
 
Wakuu naomba mnisaidie je kuna dawa ya Chango kwa msichana kwasababu kwa upande wake anasema dawa ni mpaka aweze kupata mimba ni hayo tu
Umenikumbusha mbali sana, hawa viumbe sometimes huwa wanaigiza, unakuta ni kweli huwa anapata hilo tatizo ila wakati mwingine anakuwa fresh tu ila anajifanya anaumwa, halafu anakuja kusema ili tumbo liwe sawa labda abebe mimba hapo ndio nikacheka, tena yuko serious kabisa.
 

Asante kwa mchango
 
Mke wangu hashiki mimba mwezi wa tano huu toka nmuoe lakini siku zake anapata, kawaida.
 
Nenda nae hospital mkapime wote, yaweza kuwa yai lake haliwezi kurutubishwa au mbegu zako haziwezi kurutubisha, pia mirija yake ya uzazi, hormone, vyakula n.k sabab zipo nying sana nenden mkapime.
 
Mna miezi mitano tu jamani kuwenu wavumilivu watu wako na miaka hata mitano na hawajakata tamaa kama unaona unatatizika nendeni hospitali kwa uchunguzi zaidi.
 
Itakuwa inahusiana na Rhesus factor.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…