Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

kuna kipindi flani nilikua naumwa sana hili tumbo na hiyondawa niliandikiwa kumeza ikawa kama ndio msaada wangu na nilimeza kama miezi mitatu baada ya huo kumeza na hua mamumivu yanapungua kabisa nikahama mkoa huo nikaenda mkoa mwengine huko nikawa sipatilizi dawa sinywi dawa aina yoyote navumilia tu maumivu ndipo kuna siku nilizidiwa had nikawa natapika sasa mama yangu akanitaftia hayo majani akayafikicha na malimao since then akaaah linauma ila sio lile la kupitiliza maumivu ambayo hayanizuii kufanya kazi zangu

Madame S jana alipewa dawa ya kienyeji na imemsaidia mpka sasa.
 
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu?

Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.
Sisi kwetu mtu akiumwa lile tumbo la period ndio hua tunasema tumbo la chango na husema the same kama mtoa mada alivyosema kua had ujifungue mtoto ndio maumivu hupungua kabisa haya tueleze tufaham kiundani.
 
Chango ndio ugonjwa gani wakuu

Aisee mi sio mzuri kuelezea ila wakati wa period hawa ndugu zetu huwa wanapata maumivu sana na iyo tatizo ndio linaanza hapo maumivu makali kutapika na kizunguzungu.
 
Aisee mi sio mzuri kuelezea ila wakati wa period hawa ndugu zetu huwa wanapata maumivu sana na iyo tatizo ndio linaanza hapo maumivu makali kutapika na kizunguzungu
Sawa nimeelewa, hii inaitwa dysmenorrhoea kitaalamu.
 
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu..?

Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.
Bora maana me huwa sielewi kabisa hiyo chango ndo nini?
 
Wakuu naomba mnisaidie je kuna dawa ya Chango kwa msichana kwasababu kwa upande wake anasema dawa ni mpaka aweze kupata mimba ni hayo tu
Umenikumbusha mbali sana, hawa viumbe sometimes huwa wanaigiza, unakuta ni kweli huwa anapata hilo tatizo ila wakati mwingine anakuwa fresh tu ila anajifanya anaumwa, halafu anakuja kusema ili tumbo liwe sawa labda abebe mimba hapo ndio nikacheka, tena yuko serious kabisa.
 
umenikumbusha mbali sana, hawa viumbe sometimes huwa wanaigiza, unakuta ni kweli huwa anapata hilo tatizo ila wakati mwingine anakuwa fresh tu ila anajifanya anaumwa, halafu anakuja kusema ili tumbo liwe sawa labda abebe mimba hapo ndio nikacheka, tena yuko serious kabisa. . . . .

Asante kwa mchango
 
Mke wangu hashiki mimba mwezi wa tano huu toka nmuoe lakini siku zake anapata, kawaida.
 
Nenda nae hospital mkapime wote, yaweza kuwa yai lake haliwezi kurutubishwa au mbegu zako haziwezi kurutubisha, pia mirija yake ya uzazi, hormone, vyakula n.k sabab zipo nying sana nenden mkapime.
 
Mna miezi mitano tu jamani kuwenu wavumilivu watu wako na miaka hata mitano na hawajakata tamaa kama unaona unatatizika nendeni hospitali kwa uchunguzi zaidi.
 
Mke wangu hashiki ujauzito, nimempeleka hospital mbalimbali lakini wanampima na kumwambia yuko safi na kumpa dawa pia, ila anamtoto mmoja aliwahi kuzaa na baadaye kutumia kipandikizi, lakini ana miaka nane tangu akitoe ila hajawahi kupata ujauzito, ila mimi niko safi sina matatizo
Itakuwa inahusiana na Rhesus factor.
 
Back
Top Bottom