NEMEZIZ
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 563
- 337
kuna kipindi flani nilikua naumwa sana hili tumbo na hiyondawa niliandikiwa kumeza ikawa kama ndio msaada wangu na nilimeza kama miezi mitatu baada ya huo kumeza na hua mamumivu yanapungua kabisa nikahama mkoa huo nikaenda mkoa mwengine huko nikawa sipatilizi dawa sinywi dawa aina yoyote navumilia tu maumivu ndipo kuna siku nilizidiwa had nikawa natapika sasa mama yangu akanitaftia hayo majani akayafikicha na malimao since then akaaah linauma ila sio lile la kupitiliza maumivu ambayo hayanizuii kufanya kazi zangu
Madame S jana alipewa dawa ya kienyeji na imemsaidia mpka sasa.