Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Wakuu,

naomba mnisaidie je kuna dawa ya chango kwa msichana kwasababu kwa upande wake anasema dawa ni mpaka aweze kupata mimba. Ni hayo tu
 
buscopan mpe ameze kidonge kimoja au anywe maji ya moto akiwa period
Ila asisahau siku maumivu yakiacha kabisa bila kutumia dawa ajue ana uwezekano mkubwa sana wa kutoshika mimba, dawa yake kubeba mimba akishazaa maumivu yanaisha kabisa au kupungua sana
 
Realy mkuu? Akisha meza hapo atakuwa ana tibu ugonjwa gani..?
Me ndio kidonge changu kwa kweli kimoja tu hua sisikii yale maumivu na ilinitokea nilikua naumwa sana ikifikia hali hiyo dokta akaniandikia hicho
 
Ila asisahau siku maumivu yakiacha kabisa bila kutumia dawa ajue ana uwezekano mkubwa sana wa kutoshika mimba, dawa yake kubeba mimba akishazaa maumivu yanaisha kabisa au kupungua sana
Kuna kipindi flani nilikua naumwa sana hili tumbo na hiyondawa niliandikiwa kumeza ikawa kama ndio msaada wangu na nilimeza kama miezi mitatu baada ya huo kumeza na hua mamumivu yanapungua kabisa nikahama mkoa huo nikaenda mkoa mwengine huko nikawa sipatilizi dawa sinywi dawa aina yoyote navumilia tu maumivu ndipo kuna siku nilizidiwa had nikawa natapika sasa mama yangu akanitaftia hayo majani akayafikicha na malimao since then akaaah linauma ila sio lile la kupitiliza maumivu ambayo hayanizuii kufanya kazi zangu
 
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu?

Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.
me ndio kidonge changu kwa kweli kimoja tu hua sisikii yale maumivu na ilinitokea nilikua naumwa sana ikifikia hali hiyo dokta akaniandikia hicho
 
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu..?

Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.

Mkuu tupe msaada hili jambo sio la kubuni na imekuwa tatizo katika mahusiano yetu juzi juzi tumetoka kugombana kuhusu hili jambo.
 
Ila asisahau siku maumivu yakiacha kabisa bila kutumia dawa ajue ana uwezekano mkubwa sana wa kutoshika mimba, dawa yake kubeba mimba akishazaa maumivu yanaisha kabisa au kupungua sana
Nielezee apa mkuu kutokana na nini ni dawa au nini.
 
Back
Top Bottom