Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka mtoto mapema huyo
Realy mkuu..? Akisha meza hapo atakuwa ana tibu ugonjwa gani..?buscopan mpe ameze kidonge kimoja au anywe maji ya moto akiwa period
Ila asisahau siku maumivu yakiacha kabisa bila kutumia dawa ajue ana uwezekano mkubwa sana wa kutoshika mimba, dawa yake kubeba mimba akishazaa maumivu yanaisha kabisa au kupungua sanabuscopan mpe ameze kidonge kimoja au anywe maji ya moto akiwa period
Me ndio kidonge changu kwa kweli kimoja tu hua sisikii yale maumivu na ilinitokea nilikua naumwa sana ikifikia hali hiyo dokta akaniandikia hichoRealy mkuu? Akisha meza hapo atakuwa ana tibu ugonjwa gani..?
Kuna kipindi flani nilikua naumwa sana hili tumbo na hiyondawa niliandikiwa kumeza ikawa kama ndio msaada wangu na nilimeza kama miezi mitatu baada ya huo kumeza na hua mamumivu yanapungua kabisa nikahama mkoa huo nikaenda mkoa mwengine huko nikawa sipatilizi dawa sinywi dawa aina yoyote navumilia tu maumivu ndipo kuna siku nilizidiwa had nikawa natapika sasa mama yangu akanitaftia hayo majani akayafikicha na malimao since then akaaah linauma ila sio lile la kupitiliza maumivu ambayo hayanizuii kufanya kazi zanguIla asisahau siku maumivu yakiacha kabisa bila kutumia dawa ajue ana uwezekano mkubwa sana wa kutoshika mimba, dawa yake kubeba mimba akishazaa maumivu yanaisha kabisa au kupungua sana
me ndio kidonge changu kwa kweli kimoja tu hua sisikii yale maumivu na ilinitokea nilikua naumwa sana ikifikia hali hiyo dokta akaniandikia hicho
Nilichogundua una changanya MP na chang au nme kosea mkuu..?
Nkipata mda nita iongelea CHANGo ila ki uhalisia hakna ugonjwa unaitwa chango ni maneno ya mtaani na ndio maana HOSPTAL hatu utambui huu ugonjwa.
Nielezee apa mkuu kutokana na nini ni dawa au nini.Ila asisahau siku maumivu yakiacha kabisa bila kutumia dawa ajue ana uwezekano mkubwa sana wa kutoshika mimba, dawa yake kubeba mimba akishazaa maumivu yanaisha kabisa au kupungua sana
mpeleke hospt