Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Mke wangu hashiki ujauzito, nimempeleka hospital mbalimbali lakini wanampima na kumwambia yuko safi na kumpa dawa pia, ila anamtoto mmoja aliwahi kuzaa na baadaye kutumia kipandikizi, lakini ana miaka nane tangu akitoe ila hajawahi kupata ujauzito, ila mimi niko safi sina matatizo
Unashare acount moja na Ukhuty?
 
Nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama. Kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.

nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
MR TUPO WENGI SANA WENYE HAYO MATATIZO PLZ KAMA INAWEZEKANA TUSAIDIANE NDUGU YANGU.
 
nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Ubarikiwe
 
Habari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.

Nikaenda Chanika kwa dr. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.

Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.

Naombeni msaada wa mawazo.

Pole sana, mimi na mwenzangu tulipata tatizo hilo lakini baada ya uchunguzi zaidi ilionekana mbegu zinazotoka kwaajili ya kutungisha mimba zilikuwa chache lakini pia zilikuwa abnormal. Nibudu na mumewako akaenda kupima mbegu/shahawa/manii ili kujua kama zinauwezo wa kutungisha mimba.
 
nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
My dear nakuja huko pm kwa hii issue aisee.
 
Habari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.

Nikaenda Chanika kwa dr. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.

Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.

Naombeni msaada wa mawazo.
Vipi ulifanikiwa kupata mimba?
 
Je, umepata mtoto? Sio mimba nataka kujua kama ushapata mtoto. Kama bado ni PM nikusaidie njia njema. Sihitaji kukuona wala malipo.
 
nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Ina masharti ya kiganga? Samahani lakini mana nina same problem
 
Habari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.

Nikaenda Chanika kwa dr. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.

Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.

Naombeni msaada wa mawazo.
Pole, maumivu yako hata mimi nayahisi.
 
Pole Sana Mkuu
Naamini Nafsi Yako Inaumia Sana Tena Hasa Kwa Hali Hiyo Ngumu Unayopitia Pia Kumbuka Mtoto Ni Zawadi Toka Kwa Mungu Mwenyewe Siyo Kama Baadhi Yetu Wanavyosema Huku Jukwaani Tena Kwa Kujisahau.

Ninaamini Nafasi Mzuri Kwa Muda Unaompendeza Mungu Mtapata Mtoto Ila Ukiwa Na Nafasi Unaweza Kuni PM Ila Pole Sana Kwa Hali Hiyo Ni Ya Muda Tu
Kwa nini aku-pm unataka kumfanya nini?
 
Pole sana ukishindwa kote ulipo shauriwa kushika mimba nitafute mimi nipate kukutibia upate kushika mimba.Ukinihitaji nipate kukutibia
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Kwa nini usubili ashindwe kote?
 
nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Nami nitakuchek.
 
Back
Top Bottom