KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,816
Poa mkuuHata mim nililiwaza hili ila nitamshauri asante kwa ushauri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa mkuuHata mim nililiwaza hili ila nitamshauri asante kwa ushauri
Mpigie mkuuTunawezaje kupata mawasiliano yake mkuu
Unashare acount moja na Ukhuty?Mke wangu hashiki ujauzito, nimempeleka hospital mbalimbali lakini wanampima na kumwambia yuko safi na kumpa dawa pia, ila anamtoto mmoja aliwahi kuzaa na baadaye kutumia kipandikizi, lakini ana miaka nane tangu akitoe ila hajawahi kupata ujauzito, ila mimi niko safi sina matatizo
MR TUPO WENGI SANA WENYE HAYO MATATIZO PLZ KAMA INAWEZEKANA TUSAIDIANE NDUGU YANGU.Nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama. Kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Ubarikiwenimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Habari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.
Nikaenda Chanika kwa dr. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.
Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.
Naombeni msaada wa mawazo.
Inawezekana. NiPm nipate details Kisha nitakuelekezaMR TUPO WENGI SANA WENYE HAYO MATATIZO PLZ KAMA INAWEZEKANA TUSAIDIANE NDUGU YANGU.
My dear nakuja huko pm kwa hii issue aisee.nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Mlango uko wazi madam.My dear nakuja huko pm kwa hii issue aise
Vipi ulifanikiwa kupata mimba?Habari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.
Nikaenda Chanika kwa dr. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.
Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.
Naombeni msaada wa mawazo.
Ina masharti ya kiganga? Samahani lakini mana nina same problemnimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
Pole, maumivu yako hata mimi nayahisi.Habari zenu, mi ni mwanamke wa miaka 26, nna miaka mitatu tangu nijiachie ili nipate mimba lakini sijapata nikaenda hospitali nyingi ikiwe regency, nikaambiwa nna uvimbe kwenye mayai na nkapewa dawa lakin hazikunisaidia. Na mume wangu alishapima yupo sawa.
Nikaenda Chanika kwa dr. Kapona akanambia nna layer inayoziba mayai yaliyopevuka kutoka na inabidi nifanyiwe operation, nikakubaliana nae nikafanyiwa operation. Na nkapewa na dawa pia. Na akanambia ntashika mimba ndani ya miezi mitatu.
Lakin sasa ni miezi sita sijapaja mimba, naumia sana sana yani sijui niwaambiaje na nashindwa kuelewa nifanyeje tena.
Naombeni msaada wa mawazo.
Kwa nini aku-pm unataka kumfanya nini?Pole Sana Mkuu
Naamini Nafsi Yako Inaumia Sana Tena Hasa Kwa Hali Hiyo Ngumu Unayopitia Pia Kumbuka Mtoto Ni Zawadi Toka Kwa Mungu Mwenyewe Siyo Kama Baadhi Yetu Wanavyosema Huku Jukwaani Tena Kwa Kujisahau.
Ninaamini Nafasi Mzuri Kwa Muda Unaompendeza Mungu Mtapata Mtoto Ila Ukiwa Na Nafasi Unaweza Kuni PM Ila Pole Sana Kwa Hali Hiyo Ni Ya Muda Tu
Kwa nini usubili ashindwe kote?Pole sana ukishindwa kote ulipo shauriwa kushika mimba nitafute mimi nipate kukutibia upate kushika mimba.Ukinihitaji nipate kukutibia
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano MziziMkavu barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
Hapana ni dawa tu ya kienyeji.Ina masharti ya kiganga? Samahani lakini mana Nina same problem
Nami nitakuchek.nimekuja best, ni dawa rahisi sana kutumia na haina gharama..
kama mtu akihitaji kuitumia anaweza kunitafuta PM.
nimeshawapatia wanawake sita na kati yao wanne wamenipa matokeo chanya wawili bado nadhani walikosea matumizi.
KaribuNami nitakuchek.
Hii dawa ni siri? Si uiseme hata hapa mkuu?Pm haijafika bado.
Wala siyo siri ila tatizo la mtu ni siri yake.Hii dawa ni siri? Si uiseme hata hapa mkuu?