Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Tatizo la wanawake kutoshika ujauzito

Kwa wanandoa wapya mkienda hosp dr atawaambia mkasubirie huwa kitaalamu inategemewa kuanzia miezi sita hadi mwaka utapata mimba.pia unaweza tumia clomiphene unameza siku ya tano tangu upate hedhi kidonge kwa siku viko vitano husaidia ovulation, mumeo pia aweke barafu kwenye korodani at least kwa dakika kumi kupooza mbegu kutokana na joto na avae boxer badala ya chupi zinazobana kuzipa korodani hewa ya kutosha, ameze vidonge vya vitamin e,c,ale matunda, karanga,maziwa afanye mazoezi, zingatieni mzunguko yaani mjamiiane kuanzia siku ya 10 katika mzunguko na pia mara moja kwa siku ili kupata mbegu imara, kunywa juice ya ubuyu ya kutosha, mboga za majani na vingine vingi nitafute ofisini kwangu nitakupa msaada zaidi.

Asante ndugu, I wish ningejua ofisi yako ilipo
 
Je, una miaka mingapi? Kama ovulation days unazijua, kwa miezi 3 mbona sio mingi. Style nzuri ya mimba ni kifo cha mende, ikiwezekana weka mto chini na baada ya 6 kwa 6 usinyanyuke, kaa kama dakika moja hivi, katika shuhuli, furahia tendo usiwaze kuingia mimba tu. Good luck!
 
Psychology na Mikao pia inachangia. Missionary style inashauriwa sana. Ila pia ni vzr sana mwanamke awe amefika kilelen ndo goli liingie, hii husaidia misuli ya K kuvuta mbegu mpaka kwny oviducts, pia unashauriwa ubaki chali kwa dakika si chin ya 10 baada ya goli ili chumvi ikolee.

ZAID YA HAPO, HOSPITALI KWA HARAKA NDO SOLUTION. KILA LA KHERI.
 
Wakati mwingine kuna kuwa na tatizo ya risasi za mzee kuwa weak, nilishakumbwa na tatizo hilo katika uzazi wangu wa kwanza kama baba lakini nilipata suluhu kupitia mimiea fulani ipo Usangu kule na kilichotokea nilipoenda kupima hospitali walinishangaa kwa jinsi ilivyopandisha kiwango cha nguvu za mbegu as a result baada ya wiki tatu habari ilisikika upande wa pili.

Mpaka leo nimeweza kupanga watoto ninaowataka nimetengeneza fomula ya 1:1 yaani wa kike na wa kiume maisha yanakwenda, majani yale kinachofanyika yanaflash kwanza uchafu wote uliomo kwenye mirija ya uzazi manake mnatakiwa mnywe wote ni kama chai vile ndani ya wiki moja mabadiliko yanajitokeza hata uwezo wa mzee kusimamia zoezi unajidhihirisha si unajua miili yetu imejaa sumu nyingi kutokana na mivyakula na mavinywaji tunayojipakilia?

Watu wanaona aibu kuzungumza haya mambo lakini ukweli watz asilimia 70 sasa hivi hoiiii! if you think can work just PM.
 
Tulia tu huo ni muda mfupi sana,mie nina miaka 3 na girl friend wangu tunajitahidi sana kupata mtoto bado hatujapata na baada ya kupima ikaonekana tatizo lipo kwangu mimi yaani chance ya kupata au kutopata ni 50 50
 
Yapata takribani miezi mitatu tangu nifunge ndoa.mimi na mme wangu tumejitahid sana kutafuta mtoto tangu siku ile ya ndoa hadi leo bila mafanikio.inawezekana mtu kuwa criaz kutafuta ujauzito miezi mitatu mfululizo bila mafanikio? Je, yaweza kuwa kuna tatizo lingine? Hadi leo hii hatujachukulia kama tatizo,kwa upande wa mwenzangu cjui anafikiria nini ila kwa mimi nina hofu mno sababu kila nikipima upt napata negative,cna amani ata kidogo...naomben ushauri wenu jamani,hii ni kawaida? Nifanyeje?

Usipate shida gonga hapo chini uanze kupata uelewa, ila usikariri ushauri wa daktari ni bora zaidi.


Medscape: Medscape Access
 
Hilo tatizo lilinitokea mimi na my wife, kwakipindi cha miezi 4, alienda hospital pale regency kukutana na daktari mmoja mhindi akampa dozi fulani baada ya miezi miwili mambo poa tunakadume ka mbegu kakubwa tu!
 
Nashukuru wote kwa kunitia moyo pamoja na ushauri,nina ujauzito wa wiki 10 sasa. Mungu awabariki sana
 
Yapata takribani miezi mitatu tangu nifunge ndoa.mimi na mme wangu tumejitahid sana kutafuta mtoto tangu siku ile ya ndoa hadi leo bila mafanikio.inawezekana mtu kuwa criaz kutafuta ujauzito miezi mitatu mfululizo bila mafanikio? Je, yaweza kuwa kuna tatizo lingine? Hadi leo hii hatujachukulia kama tatizo,kwa upande wa mwenzangu cjui anafikiria nini ila kwa mimi nina hofu mno sababu kila nikipima upt napata negative,cna amani ata kidogo. Naomben ushauri wenu jamani, hii ni kawaida? Nifanyeje?

Mtoto ni zawadi ya Mungu, miezi 3 midogo sana watu wako kwenye ndoa zaidi ya miaka 5 na hakuna dalili yoyote! Omba sana.
 
Thnx my dia, bad enough mume wangu ana mtoto wa nje yaani
Kwani uchumba mlidumu kwa muda gani? unamjua vya kutosha huyo mmeo? Maana kama ana mtoto wa nje kuna maswali mengi hapo, unaweza kuona huko kuchelewa kwako kupata mimba ni mipango ya mungu, subiri japo mwaka 1. Unaweza ukapata mtoto na mara anakuja kuwa ni mtoto wa nje hapo baadaye.
 
Yapata takribani miezi mitatu tangu nifunge ndoa.mimi na mme wangu tumejitahid sana kutafuta mtoto tangu siku ile ya ndoa hadi leo bila mafanikio.inawezekana mtu kuwa criaz kutafuta ujauzito miezi mitatu mfululizo bila mafanikio? Je, yaweza kuwa kuna tatizo lingine? Hadi leo hii hatujachukulia kama tatizo,kwa upande wa mwenzangu cjui anafikiria nini ila kwa mimi nina hofu mno sababu kila nikipima upt napata negative,cna amani ata kidogo. Naombeni ushauri wenu jamani,hii ni kawaida? Nifanyeje?

Kutopata ujauzito baada ya miezi mitatu ndani ya ndoa si tatizo hata kidogo. Mnatakiwa nyote mrelax na kufurahia tendo la kujamiina badala ya kujipa pressure kwamba mnajamiiana ili mpate ujauzito. Pressure ya kupata ujauzito mara nyingi inakuwa ni kikwazo kikubwa sana cha kupata huo ujauzito. Hivyo msijiweke roho juu juu baada ya muda mfupi kiasi hicho. Hongera zenu naona mambo kumbe yameshajipa.
 
Ninachojaribu kusema hapa siyo kuwashawishi wanawake wasioshika mimba kunywa pombe, ili waweze kupata mimba, hapana. Maana najua wahafidhina watanitia vidole vya macho. Ninachotaka kusema ni kwamba, huenda pombe hufanya mambo fulani yenye kuweza kuchochea upatikanaji wa mimba kwa haraka.

Kama ukichukua wanawake na kuwaambia kila mmoja apange kupata ujauzito kwa kipindi cha miezi miwili ijayo, tegemea kuona karibu wanane kati ya kila kumi kati ya watakaopata mimba, kuwa ni wale ambao wanakunywa pombe, angalau kwa kiwango cha chupa zisizozidi mbili kutwa. Halafu mmoja katika kumi atakuwa ni yule asiyekunywa pombe.

Wale wanaokunywa sana pombe kwa kiwango cha zaidi ya chupa tatu kwa siku hawa itawalazimu wasubiri kwa mwaka mzima kabla hawajapata mimba. Ni vigumu kwao kuamua kupata mimba na wakaipata kwa muda mfupi. Watafiti wanasema, kiwango cha wastani cha pombe huwachosha wanawake kushiriki zaidi kwenye tendo la ndoa, hivyo yamkini ya kupata ujauzito huongezeka sana.

Kama wanakunywa wastani wa bia mbili, wanakuwa kwenye nafasi ya kuhitaji kufanya tendo la kujamiiana kila baada ya siku moja, wakati wale wasiokunywa wanaweza kukaa wiki nzima bila kujisikia kujamiiana hasa kama mambo yanayowasonga ni mengi. Kupata mimba pia kunahitaji utulivu wa mawazo kwa kiasi fulani. Mwanamke akishakunywa bia mbili kwa mfano, mawazo yake huweza kutulia, hata kama ni kwa muda. Hapo uwezekano wa mimba nao huongezeka.

Dk. Peter Bowen, yeye anasema, kama mwanamke ni mnywaji pombe na anahitaji mimba, inabidi kila jioni anywe glasi moja ya ya mvinyo (wine) kabla hajaenda kulala. Anazungumzia mwanamke mwenye mume au mpenzi na mbaye mumewe yuko tayari kukutana naye kila anapohitaji. Vinginevyo mvinyo huo unaweza kuwa kero kwake. Dk. Bowen anasema, kusongeka kimawazo huwa kunawafanya wanawake wengi kushindwa kupata ujauzito. Hivyo kupata kitulizo cha mawazo cha muda mfupi kunaweza kusaidia.

3938847-african-american-woman-sipping-wine-in-her-modern-kitchen.jpg
 
Back
Top Bottom