NguoYaSikuKuu
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 681
- 1,020
Hivi Yanga mmempa kazi ya kusajili wachezaji na makocha huyu Engineer Hersi kwa kigezo kipi? Kwa sababu ukiangalia hana uzoefu wa kutosha katika sekta hii. Huyu mtu anasajili wachezaji almost wote free agents na mbaya zaidi ni wachezaji ambao asilimia kubwa sio wa kuweza kuipa yanga ubingwa.
KOCHA NABI:
Hivi ulikuwa na ulazima GSM na Hersi kumleta Coach ambaye hana uwezo wa kuzungumza kiengereza na mbaya zaidi hana uzoefu wa soka la Afrika mashariki. Huyu Kocha hana maajabu hata huko Al Merrikh walimfukuza baada ya mechi chache sana.
Binafsi naona ukanda wetu huu wa CECAFA bado tuna makocha wazuri sana .
Je, Yanga waliona kitu gani kwa kocha huyu asiyejua hata Kuongea na wachezaji?
WACHEZAJI :
Embu angalia wale wachezaji wa Yanga waliosajiliwa misimu hii yote tangu Hersi ameanza kusajili wengi hawadumu na wanabadilishwa kila msimu. Kifupi Yanga hawana kamati bora ya usajili zaidi ya kumtegemea Hersi.
Wachezaji wote wapya waliokwama kwa sababu wameondoka bila mazingira mazuri huko walipotoka. Hii ni ka sababu ni free agents na Klabu zimepuuzia kutoa vibali vyao mapema.
USHAURI:
1. Engineer Hersi abaki kama muwezashaji na suala la kusajili wachiwee watu wenye uzoefu.
2. Yanga watafute scouts ambao wanawalipa na wnaweza kupata wachezaji wazuri sana wa Kigeni na nafuu kuliko hawa mediocore wa AS VITA.