Kiraka
JF-Expert Member
- Feb 1, 2010
- 4,285
- 4,074
Wameombwa kusajili wachezaji, sasa ni lazima wasimamie zoezi.. sio kutoa hela tuGSM sio wafadhili, mkataba wao ni mauzo ya jezi. Mengine wakiyafanya ni kuuingilia uongozi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wameombwa kusajili wachezaji, sasa ni lazima wasimamie zoezi.. sio kutoa hela tuGSM sio wafadhili, mkataba wao ni mauzo ya jezi. Mengine wakiyafanya ni kuuingilia uongozi
Nani anayejipa kazi ya kuandaa timu kama sio wao GSM? Laiti kama angekuwa watu makini wangekuwa serious na uandaaji wa timu kwenye pre season kwa kujikita kutafuta mechi za kirafiki za kimataifa. Hao Azam tu wameenda Zambia na wamecheza mechi za kirafiki zaidi ya mbili ndio mpira unavyotaka sio blah blah za wiki ya mwananchi badala ya kuandaa timu.Timu imecheza mechi ngapi?wachezaji hawa wamekaa pamoja kwa muda gani?acha uchochezi bwana
GSM wameingia yanga mwaka huu?Timu imecheza mechi ngapi?wachezaji hawa wamekaa pamoja kwa muda gani?acha uchochezi bwana
PhD ya Msolla ( Masikini ) haina Ubavu mbele ya mwenye Bachelor yake Hersi ( Tajiri )Hivi Yanga mmempa kazi ya kusajili wachezaji na makocha huyu Engineer Hersi kwa kigezo kipi? Kwa sababu ukiangalia hana uzoefu wa kutosha katika sekta hii. Huyu mtu anasajili wachezaji almost wote free agents na mbaya zaidi ni wachezaji ambao asilimia kubwa sio wa kuweza kuipa yanga ubingwa.
KOCHA NABI:
Hivi ulikuwa na ulazima GSM na Hersi kumleta Coach ambaye hana uwezo wa kuzungumza kiengereza na mbaya zaidi hana uzoefu wa soka la Afrika mashariki. Huyu Kocha hana maajabu hata huko Al Merrikh walimfukuza baada ya mechi chache sana.
Binafsi naona ukanda wetu huu wa CECAFA bado tuna makocha wazuri sana .
Je, Yanga waliona kitu gani kwa kocha huyu asiyejua hata Kuongea na wachezaji?
WACHEZAJI :
Embu angalia wale wachezaji wa Yanga waliosajiliwa misimu hii yote tangu Hersi ameanza kusajili wengi hawadumu na wanabadilishwa kila msimu. Kifupi Yanga hawana kamati bora ya usajili zaidi ya kumtegemea Hersi.
Wachezaji wote wapya waliokwama kwa sababu wameondoka bila mazingira mazuri huko walipotoka. Hii ni ka sababu ni free agents na Klabu zimepuuzia kutoa vibali vyao mapema.
USHAURI:
1. Engineer Hersi abaki kama muwezashaji na suala la kusajili wachiwee watu wenye uzoefu.
2. Yanga watafute scouts ambao wanawalipa na wnaweza kupata wachezaji wazuri sana wa Kigeni na nafuu kuliko hawa mediocore wa AS VITA.
hii lugha ni ya kila msimu,msimu wa nne huuTimu imecheza mechi ngapi?wachezaji hawa wamekaa pamoja kwa muda gani?acha uchochezi bwana
Sio kila anaye wekeza au kupenda soka ni mtu wa soka, mimi nakubaliana na mtoa mada Engineer Hersi sio mtu wa soka ingawa anapenda soka. Haya mambo yanawatu wake.Tatizo kila anayejua kusoma,kuandika na kuongea ashakuwa Kocha,scounts muwekezaji yaani anajua kila kitu.Imefungwa Barcelona 8-0 itakuwa Yanga cha ajabu mno ni nini kama hujui mpira kaa kimya waache wanajua wawekeze ubaki kuwa mshabiki tu ....tusipende kuwakatisha taama watu kama Hersi mwisho tutakosa wanamichezo huko mbele sababu ya watu kama nyie
Hilo ni kosa la nani sasa!!!!? Wanaoendesha timu wameshindwa kupanga mipango mizuri ndo mana unaona Nabi kupewa siku 25 za preseason badala ya wiki 6, walipeleka timu Morocco kufanya nini!?? Huu mwaka wa ngapi GSM yupo yanga, bado anajenga timu kila msimu wanasajili wachezaji wapya zaidi ya kumi unategemea nini!? Yanga ijifunze kwa Simba jinsi ya kuendesha timu inavyotakiwa sio kwenda na mihemko..Timu imecheza mechi ngapi?wachezaji hawa wamekaa pamoja kwa muda gani?acha uchochezi bwana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti inama.....!!?inama Mbele nyuma mwiko
Dah!! Yanga inafeli wapi aisee, mimi binafsi sioni kama kocha ana shidaa, shida ipo kwenye uendeshaji wa timu. Kama mtu alitoa mapendekezo timu iwe na preseason ya wiki 6 akapewa siku 25 tu na kubadilishiwa karibu timu yake yote mnategemea nini!?
Wamevurugwa kweli wanafukuza kocha wanaacha huu mzoga?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mfadhili mkuu anataka ajue hela yake inakwendaje, maana upigaji wote uko hapo kwenye usajili, ndio maana anaweka mtu wake pale.