Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Kuna rafiki yangu analalamika kuwa uchumi wa nchi yetu umemilikiwa na watu ambao kwa mtazamo wake anadai siyo watanzania.
Anadai miradi yote mikubwa kwa sasa nchini inafanywa ama kumilikiwa na Waarabu, wahindi, wazungu na hivi karibuni na wachina na wale weusi wachache wanaoonekana ama ni mafisadi au wanasiasa wanaotumia nafasi zao kumiliki uchumi.
Kwa maoni yake anaona watu wenye rangi nyeupe wanapendelewa na mfumo hivyo kuwafanya watanzania "wazawa" kukaa nje ya mfumo wa uchumi.
Maoni yangu hali ipo hivyo si kutokana na rangi ya ngozi zetu bali ni kutokana na uduni wa fikra tulio nao sisi watu weusi. Ukichunguza kwa makini tangu zama za kina Mangungo mpaka Sasa, tatizo ni kuwa na viongozi wenye fikra duni na siyo kutokana na rangi ya ngozi yetu.