Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Dah!...haya bhana .Ukichunguza kwa makini tangu zama za kina Mangungo mpaka Sasa, tatizo ni kuwa na viongozi wenye fikra duni.
Jee ni nani wenye mamlaka ya kuubadili huo mfumo wetu wa hovyo wa Elimu kati ya Waarabu, wahindi, wazungu, wachina au sisi watu weusi ambao nafasi za uongozi 99.99% tunazishikilia sisi?Elimu ndo shida tangu awali mpk chuo
tunasomea cheti ili tuajiliwe tu na serikali hizi za kipimbi!
Umeongea jambo kubwa Sana, sijui kama watakuelewa!!Ndo maana mimi nilipinga, na nikasimama Kariakoo nikapinga, pale Waziri Jafo alipopiga marufuku Mchina kuwa winga, kusukuma mkokoteni na kuponda zege.
Kwa nn mimi Mzawa ndio unitengee na unilindia ajira ya elfu kumi na tano kwa siku kuponda zegeeeeee ????
Mzungu sio winga New York City. Mawinga ni Wasenegali wamejipanga Canal Street. Sio mwenyeji Mzungu. Never freaking ever!!!!
NAKATAA KUWA MANAMBA, BOTTOM OF BARREL SERVANT, WA MTU WAKUJA!