suley hazard
Member
- May 19, 2014
- 61
- 116
Sijajua vizur maelezo ya kukusaidia mkuu, Lakin kwa ushaur tu tumia charger yake au tafuta inaweza ikaleta tatizo Zaid ya shotiwakuu mambo vipi
Laptop yangu chaji iliungua,nikawa natumia chaji ya kuazma
imepita mwez mzma cjaiwasha,tangu wiki iliyopta kila nikichomeka chaj,haioneshi ka inapeleka,,ila ukiishika laptop huku umeichomeka chaji,inakuwa inashtua mkono kama shot hv..maana yake umeme unafka kwenye laptop
Tatizo laweza kuwa nini?
OK BTW Kuna kitu hapa soma inaweza ikakusaidia mkuu
Ok mostly android zinakubal kucharge bila hata ukiwa ujaweka drivers zake. Kama ni hivyo bas download drivers zakeKaka Pirate pole na uchovu
Naomba msaada wako Nina PC kila Niki connect na USB kwenda kwenye simu inacharge tu ,lakn option ya kutransfer haiji...Nifanyeje mkuu??
Sent using Jamii Forums mobile app
OK mkuu kujua kama una Bluetooth connection Kuna njia rahisi hivhabari ya majukumu wana jf, naomba kujua namna ya kutuitambua pc yangu kama ina access ya bluethooth maana nikifungua kwa upande wa betry ya pc naona mchoro wa bluetooth lakn ndani ya pc siioni, tafadhali naomba msaada, pc ni toshiba, natumia window 7 professional
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani haitoi mlio wowote maana nilikuwa napiga window Mara umekatika gafla na ukarudi sasa tatizo lilianzia hapoAitoi mlio wowote?
Pirate
Aimaliz kuwaka kwenye bios au kwenye windows system mkuu?Wakuu habari zenu.
Nina pc yangu fujitsu ina matatizo kidogo. Mwanzoni ilikuwa nikiiwasha inawaka ila haimalizi. Nikajaribu kuifanyia repair kwa external bootable device ila bado inanigomea na haimalizi mpaka mwisho.
Nimetumia external hard disk ila still bado haimalizi. Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa mnahisi tatizo litakuwa ni nn?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna PC yangu ukiwasha inaingza chaji lkn baada ya dk 1 haingii na indicator kwa ajili ya chaji inaonesha inaingia nimebadilisha battery bado tatzo lipo na nimebadilisha adapter bado lipo naomben msaada wana jfhiyo bettery icon ndo siioni mkuu?
Kwenye windows mkuuAimaliz kuwaka kwenye bios au kwenye windows system mkuu?
Pirate