Johnny Impact
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 5,502
- 9,070
Km baado andika hii.naomba msaada jinsi ya kudownload window 10
Kuongezea hapo achomoe ram kisha aisafishe na airudishie. Ishawahi kunikuta hii issue nilikuwa na deal na rammkuu kama ujapata solution ni hivi
ukiwa pc yako ikiwa inapiga hizo beep fanya hivi
beep 1=video card
beep2-3=ram
beep zikizid zaid=processor
#1
kama unaweza toa video card isafishe sana zaid kama kuna vumbi kisha irudishie
#2
fanya kam ulivyofanya kwenye video card zitoe alafu zisafishe zirudishie hakikisha zimekaa vizur na ziwe zimebana zisiwe zimelegea hata kidogo.
#3
hapa pia ichomoe processor kisha safisha ile thermal paste iliopo kisha nunua nyingne kisha upake tena na kwa ushauri unaofanya hivyo akiksha processor ipo kwenye slot yake na baada ya kuipaka hapo juu kisha uikaze processor yako tena usiiache loose muda mrefu hata kidogo
Tafuta software inayoitwa EASEUS PARTITION WIZARD.pc yangu, ina niambiaa unmounted error. kila ninapo jaribu kushusha window haifanikiwi kumaliza process hii...., inaishiaa kusema automatic repair tu....,
Sent using Jamii Forums mobile app
Tumia Sumatra hii ndiyo mwisho wa maneno.Wakuu PC yangu lenovo-thinkpad, window xp, nikiweka document PDF inafunguka maandishi hayaeleweki, sijui ndo virus! Msaada tafadhali
Sent from my Nokia-tochi using JamiiForums mobile app
Kiongozi mambo vipi
Mimi nina PC desktop aina ya hp Intel core 2 duo E7500 yeny ram 8 GB na nimefunga hard disk 3 za ukubwa wa 500 Gb, 1000 GB na 1500 GB
Sasa nilikuwa nataka niitoe hiyo hard disk ya 500 Gb ili niweke ya 3 TB aina ya seagate ila kila nikiiweka hiyo hard disk kwenye mashine haionekani.
Je kuna njia nyingine ya kupitia ili hard disk ya 3 TB isome kwenye pc yangu??
Mkuu kufa kwa betri inatokana na adaptor.Computer yangu inaitwa pack hardbell
Inatatizo la kufa battery cjui ntapata wapi spare yake nimetafuta sana APA bongo cjapata...
Msaada wenu wadau
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda maduka yyte ya wauza computer na iman utapata. Ni vizuri ukienda na pc yako kbsaNahitaji display ya laptop
PC yangu nikiiwasha inaandika "Operating System Not Found" nikashauriwa Ku reconnect hard disk nikafanya hivyo lakini bado tatizo lipo. Naomba msaada Tafadhali.
Nashukuru mkuu. Je nawezaje kuangalia ukomo wa RAM?kwa nilivyokuelewa mkuu unamaanisha unataka kuongeza ram ya 3gb---8gb , inawezekana but baadh ya pc zina ukomo wa luongeza ram yan minimum--maximum recommendations kwaiyo kabla ujaongeza basi angalia pc yako mwisho wa ram yake ni ngapi, kuweka ram baadhi ya laptop nyng sehem ya ram ipo peke ake kabisa auna haja ya kufungua kava lote na pia angalia ram yako ni ipi kabla ujaenda kununua na kama una plan ya kuweka mwenyew zipo hizi(sdram,ddr,rdram n.k)
week 1 ilopita nlipata tatzo kama hlo, nkakuta boot loader ina shida, solution ni kununua hard disk ingine, kisha hyo ubadili kuwa externalMkuu computer imegoma kuboot window kwenye flash, hapo nyuma ilikuwa ina boot km kawaida. Msaada tafadhali
itasidia sana hii just tusiwe wachoyo real tuwe activeHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate