Mkuu sijajua vizur bei za vitu za kila sehem, kwa ushaur kwenye mkoa ulioko nenda kwa fund wa computer nna uhakika ataweza kulitatua tatizo, maana hapo vyote vyatakiwa vibadilishwe.Pc yangu inarusha kwa mbaali kwenye sehemu ya keyboard..na ukihitaji kuongeza ram kutoka 2gb mpka 4gb ni sh ngapi!
Umepata msaada?fundi mzuri wa PC hardware anayeweza kurekebisha short katika motherboard hasa za dell, maana ukiichomeka adapter tuu pc haiwaki na adapter inazima. NAHITAJI MSAADA WA UTATUZI HUO NIPO DAR BAMAGA
Hili tatizo linatatulika pasipo kubadilisha hard diskweek 1 ilopita nlipata tatzo kama hlo, nkakuta boot loader ina shida, solution ni kununua hard disk ingine, kisha hyo ubadili kuwa external
Kama ujafanikiwa bado, ilo betri Lako linaonekana liliisha kabisa sasa cha kufanya weka pc yako kwenye chaji ukiwa ujaiwasha kwa masaa kadhaa ili betri liweze kujucharge vizurWadua mashine yangu haitunzi moto,
Betrii ni jipyana kipindi cha kama week mbili zimeisha lilikuwa poa tu
Niliangalia movie usiku nikasahau kuizima so ikazima yenyewe baada ya kuishiwa charge,
Sasa kesho yake nimeiwasha betri haijai inabaki zero mpka mwisho
Shukrani mkuu nilifanikiwa na napiga mzigo kama kawaKama ujafanikiwa bado, ilo betri Lako linaonekana liliisha kabisa sasa cha kufanya weka pc yako kwenye chaji ukiwa ujaiwasha kwa masaa kadhaa ili betri liweze kujucharge vizur
Mambo vp mkuu!?Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Ok!Habari zenu waungwana nina tatizo pc inawaka vizuri ila baada ya dakika 2 au 3 inapoteza mwanga kabisa yani pc inakua on ila display haioneshi nimejarib kuikagua nikaona mwanga umepotea kabisa, itakua na tatizo gani? Pc ni hp pavilion dm 1
Natumia windows 7 profesional hizo dakika 2 nikiwa natumia au situmii in all conditions na km nikiiacha kuna mda mwanga unakuja na kuondoka kama vile flash ya camera hata nikiizima nikiwasha tena haileti mwanga mpaka baada ya mda mrefu ndo nikiwasha inawaka na mwanga ila baada ya mda mfupi mwanga unapotea, ila hata km mwanga umepotea pc inakua bado ipo on na ukimurika kwa tochi ya mwanga mkali unaona kwa mbaliOk!
*Unatumia window gani?
*Hizo dk 2 unakuwa hautumii?
*Inapopoteza mwanga,kuiwasha inawaka kawaida au inabid kuizima kisha unaiwasha tena?
nahitaji kubadilisha touch digitizer ya Nokia 6... kama unayo naomba uniPmHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae Ana tatito na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu(zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya
Karibuni sana wakuu
Pirate
Same problem kaka nimeomba msaada wiki sasa but haujapatikanamonitor haidisplay lakin mashine imewaka vzuri ukizima monitor ukiwasha inaonyesha vzur the suddenly tena inakataa kudispay naomba msaada