Tatizo lolote la PC/device

Kwako kamanda Pirate, Nina Laptop yangu model HP yenye Processor ya 1Ghz, Ram ya 4 GB (2.99 GB Usable),System type 32-Bit, inafanya kazi slow saana mpaka inakera, Window 8 Pro
Unadhani tatizo linaweza kuwa nini ?

Ulishawahi kutumia windows 7, au vista??
Muda mwingne unaweza uka-force kuweka windows kubwa kweny pc ndogo ndio maana uwa wanaweka recommendations ya windows gani uweke kwenye hiyo pc utakayokuwa nayo.

Pia kuwa slow kwa pc inawezekana ikawa tatizo la virus Kwenye system yako, so jaribu kutumia antivirus nzur ili iweze kuwatoa au fanya installation ya windows upya ili uone kama itarud kuwa fasta.

Pia check space ya hdd yako uwa kama inakarbia kujaa inakuwa slow.

Njia ya mwisho fungua pc safisha kwa kuipuliza na kufuta vumbi yote inasaidia pia.
 
[emoji388][emoji335][emoji336][emoji390][emoji985][emoji986][emoji332][emoji331][emoji334][emoji333][emoji989][emoji342][emoji328][emoji987]PC,ANDROID,DATA'NETWORK,INTERNET CONNECTION,SOFTWARE SOLUTIONS.

THE MAIN INFOTRICKS
 
Sijawahi kutumia window 7 kwani natambua inamiss vitu vingi, kuna mtu aliwanidokezea kujaribu, kwa sasa ndani ya Computer kuna window 8 na window 10, Hiyo Vista inafanyaje, ? naipataje ili niijaribu nayo ?
 
So unatumia Os mbili kwenye hiyo hp??
 
So unatumia Os mbili kwenye hiyo hp??[/QUOTE
Yes, baada ya kupata shida na hii window 8 nikaona nijaribu kubadili kwenda window 10, matokea yake window 10 nikapata haiko so friend nikaachana nayo sasa naendeea kuitumia window 8 mkuu
 
At least Tumia os moja maana kwa specifications ya pc yako lazima itakuwa slow, jarbu kutumia Os moja inaweza ikakusaidia kuwa fast kidogo
 
At least Tumia os moja maana kwa specifications ya pc yako lazima itakuwa slow, jarbu kutumia Os moja inaweza ikakusaidia kuwa fast kidogo
Sasa unashauri niitoe ipi ?, kumbuka ilianza tatizo la slow function nikiwa na hiyo window 8 ndio nikatafuta kuweka window nyingine, sio kwamba tatizo limeanza baada ya kuweka hiyo window 10
 
Sasa unashauri niitoe ipi ?, kumbuka ilianza tatizo la slow function nikiwa na hiyo window 8 ndio nikatafuta kuweka window nyingine, sio kwamba tatizo limeanza baada ya kuweka hiyo window 10

But nilikupa suggestion ya kuangalia vitu zaidi ya kimoja. Je vyote vipo sahihi?
 
Imegomaje yani???
Nimeingia kwny hyo [emoji821] {link} imeniongoza ktk ku download, then nme unzip na ku run settings bt ikaniandikia oparation failed...... Kifup haijaweza solve ttzo
 
Pc yangu aina ya acer inatatizo na keyboard

Keyboard haifanyi kazi , msaada wenu tafadhali
 
PC yangu nikiiwasha inaanza mwanga wa njano kuwaka tatizo nini?
 
Pirate, Hivi kuna madhara yeyote kuiacha laptop kwenye charger muda wote unapoitumia ?

Hamna madhara yoyote kwasabab hata Kama ukiwa utumii kwenye charge kufa kwa betry ni vile vile, kwasabab hata ao watengenezaji wa mabetry awajawahi kusema ukiwa uchagi betri sana utasave battery life
 
Nimeingia kwny hyo [emoji821] {link} imeniongoza ktk ku download, then nme unzip na ku run settings bt ikaniandikia oparation failed...... Kifup haijaweza solve ttzo

Uwa unakumbuka kudisable antivirus ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…