pirate
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 718
- 703
- Thread starter
- #761
Kwako kamanda Pirate, Nina Laptop yangu model HP yenye Processor ya 1Ghz, Ram ya 4 GB (2.99 GB Usable),System type 32-Bit, inafanya kazi slow saana mpaka inakera, Window 8 Pro
Unadhani tatizo linaweza kuwa nini ?
Ulishawahi kutumia windows 7, au vista??
Muda mwingne unaweza uka-force kuweka windows kubwa kweny pc ndogo ndio maana uwa wanaweka recommendations ya windows gani uweke kwenye hiyo pc utakayokuwa nayo.
Pia kuwa slow kwa pc inawezekana ikawa tatizo la virus Kwenye system yako, so jaribu kutumia antivirus nzur ili iweze kuwatoa au fanya installation ya windows upya ili uone kama itarud kuwa fasta.
Pia check space ya hdd yako uwa kama inakarbia kujaa inakuwa slow.
Njia ya mwisho fungua pc safisha kwa kuipuliza na kufuta vumbi yote inasaidia pia.