Mtwara Smart
JF-Expert Member
- Jun 6, 2019
- 666
- 1,492
Taja Model Na Brand MkuuHello!! Nina PC nimeipark tu kabatini, fundi aliniambia imekufa Graphics Processing Unit (GPU). Vipi kuna mtaalamu nmletee aiwashe?? Au ndo ishakufa hiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Taja Model Na Brand Mkuu
Wengine Tunaweza Kununua Kama Spare Au Tukaifufua!
Na Wakati Unapeleka Kwa Fundi Ilikuwa Inafanyaje Au Ilijizima Kabisa?
Regards
Mtwara Smart
Sent using Jamii Forums mobile app
sio kwamba pc haina tena uwezo wa kuweka windowsNina pc hp ram 4 gb cpu processor 2.0Ghz storage 212...nlipandishiwa window from 7 to 10.from ther ikakataa kuinstall vlc,microsoft office na software zngne..jamaa aliyepga window akasema ina virus kwa hyo haiwez kuwekwa /kuinstall software.naomba msaada nifanye nin Niweke window 10 ifanye kazi vizuri?
kama huwa haushutdown bali unahibernet kwa muda mrefu nadhan ulikuwa unakoseada irritant boy nna Pc yangu ambayo ni Toshiba. Nimekuwa nikitumia windows 10 kwa muda sasa. Tatizo ni kwamba betri yake life span naona ishafika zero kwa maana haitunzi charge. Sasa naweza Hibernate mara nyingi huwa si-shut down, nikakaa hata siku 4 sijaiwasha. Siku nikija kuiwasha au labda ilijizima baada ya umeme kukatika huwa Kuna mlio Fulani inatoa kama king'ora hivi. Ukiizima na kuwasha tena inawaka vizuri tu pasipo huo mlio. Je, tatizo linaweza kuwa ni nini ?
Tatizo jingine ni kwenye Keyboard mfano kwa sasa Escape haifanyi kazi. Nawezaje kufix hili ?
kama unaweza ku ireprogram BIOS chip, na IO chip yake inawezekana ukasolve tatizo,Ya mda mwingine huwa inaweza zima after 24 second. Vipi hamna program ya kuhack iyo system clock ili iyo processocer iwe compatible
Sent using Jamii Forums mobile app
uliisafisha kwa kimiminika gani,Msaada tafadhali,Nina dell latitude 620 inanigomea kuwaka na hasa bands ya kuisafisha mother board ila ukichomeka chaja moto unafika vizuri...muongozo tafadhali...nipo dar
Sent using Jamii Forums mobile app
taja aina ya computerHello!! Nina PC nimeipark tu kabatini, fundi aliniambia imekufa Graphics Processing Unit (GPU). Vipi kuna mtaalamu nmletee aiwashe?? Au ndo ishakufa hiyo??
Sent using Jamii Forums mobile app
inaweza kupona na pia inaweza isipone inategemea na case yakebetri ya pc ikifa inaweza kupona?
nadhan umemaanisha lenovo thinkpad,Lenevo touchpad, ilizima yenyewe tu. Ukiwasha inawaka ila display haioneshi, cuz nasikia feni inazunguka na ina vitaa flani vinawaka kuonesha imewaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu.kama huwa haushutdown bali unahibernet kwa muda mrefu nadhan ulikuwa unakosea
ukihibernet the current state ya pc inahamishiwa kwenye hard disk ili ukija kuwasha irud pale pale, sasa kuhibernet hakujawekwa kwa ajiri ya kuiacha computer kwa muda mrefu
ukiiacha computer kwa muda mrefu katika hibernation mode tena computer isiyotunza chaj maana yake ni kwamba unapoiwasha tena inapata shida ya kumemorize ile last configuration ambayo nadhan huwa inapata shida ya kureverse kutokana na lost power hasa kama na bios battery pia ikiwa ishaanza kupoteza power yake maana hii battery hasa ndo huwa ina deal na boot memory
kwa ushauri kama unajua utatumia pc mbele kwa zaid ya siku moja we izime tuu kabisa
ila kama unajua unazima usiku na kuwasha asubuh we hibernet haina shida, ila pia kumbuka kuirestart mashine kama umehibernet mfululizo sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu PC Yangu Dell Kasa yake haifanyi baada ya Jamaa niliyempelekea Kupiga Window Chini na sasa natumia Window 8 ila haifanyi kazi mpaka natumia Mouse. Msaada tafadhali kama tatizo linatatulika!Karbu sana
Pirate
nawezaje kujua pc nzur maana nna mpango wa kununuaHabari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Mkuu Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha """255% Available (plugged in)""" Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha Hizo asilimia 255%, Nimejaribu Kuupdate driver Lakini imeshindikana Na Pia Nina Betri mbili moja Ni mpya Kabisaa lakini nikiweka Betri Inasema *System can not charge this battery*inaweza kupona na pia inaweza isipone inategemea na case yake
case 1: memory issue
kwenye battery kuna circuit inayokumbuka na kufanya mawasiliano na cells za battery, ikitokea tatizo hapo memory huwa inasahau cells ama inashindwa kudetect battery level
dalili yake kubwa ni : PLUGGED IN BUT NOT CHARGING,
NO BATTERY DETECTED
solution ni kulifumua battery kisha kulicharge kisha kulisuka upya though unaweza jaribu some drivers issue pia huwa zinasababisha hiyo issue ya memory loss kwa battery
case ii: hii ni damage au depletion ya electrolytes katika battery au kuharibika kabisa kwa circuit ya batteru
solution: nunua battery mpya maana gharama za kuanza kununua zile cells ni almost sawa na kununua battery jipya
hii ndo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu mkuu kwa siku kadhaa imegoma kabisa. Ukiiwasha ukicheki GPU ukiigusa inakuwa inapata moto, inakuwa inaongezeka tu joto.nadhan umemaanisha lenovo thinkpad,
hapo kuna issue nyingi ila issue ya kwanza na basic unaweza kuifanya ni
1.toa battery chomoja chaja kisha bonyeza batan ya kuwasha kwa sekunde zaidi ya 45,,,, inasaidia kuondoa static charges kwenye 3.3v power rail na sehem zingine za motherboard
isipowaka unakuja na hatua namba 2
2. fungua mfuniko wa nyuma toa ram zifute kisha futa na matundu yake kisharudishia
3. chomeka kioo cha nje pia ili ku narrow down tatizo hii itasaidia kujua pakuanzia kama hizo hatua 2 za hapo juu hazijafanikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
hapo kama unasema umetumia battery mbili na bado tatizo lipoMkuu Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha """255% Available (plugged in)""" Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha Hizo asilimia 255%, Nimejaribu Kuupdate driver Lakini imeshindikana Na Pia Nina Betri mbili moja Ni mpya Kabisaa lakini nikiweka Betri Inasema *System can not charge this battery*
Wakati ndo bettri la Dell na Nikaamua Kuchukua Replacement battery Nalo bado, Lakini pia Mda Mwingine ukiweka Betri linawaka ila ile asilimia Bado ipo hvyo hvyo *255%* na Hapo ikiamua Inaweza Ikazima gafla..
kubwa Zaidi Nikiitumia Laptop direct yani bila Kueka Betri asilimia Ya *255%* huw inakuwepo ila Laptop haizimi....
hvyo Naomba Unisaidie kujua
-Hii *255% Available (plugged In) Husababishwa Na Nini na Utatuzi wake
-Kwanini niwekapo betri Pc huzima haijalishi umeweka Jipya au la Zamani.
Asante.
NB.Sory kwa Kuelezea Sana, Ila naamini umenielewa
unapatikana mkoa ganiNimejaribu mkuu kwa siku kadhaa imegoma kabisa. Ukiiwasha ukicheki GPU ukiigusa inakuwa inapata moto, inakuwa inaongezeka tu joto.
Katika maongezi na mdau mmoja kitaa, kaniambia hapo hamna namna ni kubadili body ya ndani (Motherboard).
So kama kuna mtu ana Lenovo Thinkpad may be mbovu ila body yake ya ndani nzima, please anicheki tufanye manuva.
Santee.
Sent using Jamii Forums mobile app
dell model ganiMkuu PC Yangu Dell Kasa yake haifanyi baada ya Jamaa niliyempelekea Kupiga Window Chini na sasa natumia Window 8 ila haifanyi kazi mpaka natumia Mouse. Msaada tafadhali kama tatizo linatatulika!