Tatizo lolote la PC/device

Tatizo lolote la PC/device

Hello!! Nina PC nimeipark tu kabatini, fundi aliniambia imekufa Graphics Processing Unit (GPU). Vipi kuna mtaalamu nmletee aiwashe?? Au ndo ishakufa hiyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
Taja Model Na Brand Mkuu
Wengine Tunaweza Kununua Kama Spare Au Tukaifufua!

Na Wakati Unapeleka Kwa Fundi Ilikuwa Inafanyaje Au Ilijizima Kabisa?

Regards

Mtwara Smart

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lenevo touchpad, ilizima yenyewe tu. Ukiwasha inawaka ila display haioneshi, cuz nasikia feni inazunguka na ina vitaa flani vinawaka kuonesha imewaka.

Nina pc hp ram 4 gb cpu processor 2.0Ghz storage 212...nlipandishiwa window from 7 to 10.from ther ikakataa kuinstall vlc,microsoft office na software zngne..jamaa aliyepga window akasema ina virus kwa hyo haiwez kuwekwa /kuinstall software.naomba msaada nifanye nin Niweke window 10 ifanye kazi vizuri?
sio kwamba pc haina tena uwezo wa kuweka windows

hii ni kwamba software za jamaa ziko infected na nadhan windows 10 aliyokuwekea itakuwa nia nyuma ya windows 10 v 1870

update security ya windows ikishindakana kutokana na infection kufika katika files ambazo antivirus haifiki bhasi weka windows upya kwa kutumia clean programs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
da irritant boy nna Pc yangu ambayo ni Toshiba. Nimekuwa nikitumia windows 10 kwa muda sasa. Tatizo ni kwamba betri yake life span naona ishafika zero kwa maana haitunzi charge. Sasa naweza Hibernate mara nyingi huwa si-shut down, nikakaa hata siku 4 sijaiwasha. Siku nikija kuiwasha au labda ilijizima baada ya umeme kukatika huwa Kuna mlio Fulani inatoa kama king'ora hivi. Ukiizima na kuwasha tena inawaka vizuri tu pasipo huo mlio. Je, tatizo linaweza kuwa ni nini ?

Tatizo jingine ni kwenye Keyboard mfano kwa sasa Escape haifanyi kazi. Nawezaje kufix hili ?
kama huwa haushutdown bali unahibernet kwa muda mrefu nadhan ulikuwa unakosea

ukihibernet the current state ya pc inahamishiwa kwenye hard disk ili ukija kuwasha irud pale pale, sasa kuhibernet hakujawekwa kwa ajiri ya kuiacha computer kwa muda mrefu

ukiiacha computer kwa muda mrefu katika hibernation mode tena computer isiyotunza chaj maana yake ni kwamba unapoiwasha tena inapata shida ya kumemorize ile last configuration ambayo nadhan huwa inapata shida ya kureverse kutokana na lost power hasa kama na bios battery pia ikiwa ishaanza kupoteza power yake maana hii battery hasa ndo huwa ina deal na boot memory

kwa ushauri kama unajua utatumia pc mbele kwa zaid ya siku moja we izime tuu kabisa

ila kama unajua unazima usiku na kuwasha asubuh we hibernet haina shida, ila pia kumbuka kuirestart mashine kama umehibernet mfululizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada tafadhali,Nina dell latitude 620 inanigomea kuwaka na hasa bands ya kuisafisha mother board ila ukichomeka chaja moto unafika vizuri...muongozo tafadhali...nipo dar

Sent using Jamii Forums mobile app
uliisafisha kwa kimiminika gani,

hapo ni ngumu kujua tatizo lakini anza kwanza na switch kuiangalia

na ubaya wa hiyo mashine switch yake inatumia mkanda wa keyboard na sina uhakika kama ni fund mzoefu ili ujue pale njia zipi ni za switch iili uweze kuzishort na kuona kama mashine itawaka,

hatua ya kwanza rahisi jaribu kuiweka vizur cable ya keyboard inaweza kuw iko vibaya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hello!! Nina PC nimeipark tu kabatini, fundi aliniambia imekufa Graphics Processing Unit (GPU). Vipi kuna mtaalamu nmletee aiwashe?? Au ndo ishakufa hiyo??

Sent using Jamii Forums mobile app
taja aina ya computer

kuna mteja alishawahi kupiga simu akisema fundi wake kamwambia graphics card imeungua

ss ilipoletwa mashine ni lenovo ambapo haina dedicated graphics na graphical issues zinakuwa handled kwenye unit moja na processor

so hapo fanya ulete specs kamili wadau hapa tutajaribu kukusaidia ikishindikana mpaka physically basi itabid ufanye kuuza spea kama mdau alivoshauri hapo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
betri ya pc ikifa inaweza kupona?
inaweza kupona na pia inaweza isipone inategemea na case yake

case 1: memory issue
kwenye battery kuna circuit inayokumbuka na kufanya mawasiliano na cells za battery, ikitokea tatizo hapo memory huwa inasahau cells ama inashindwa kudetect battery level

dalili yake kubwa ni : PLUGGED IN BUT NOT CHARGING,
NO BATTERY DETECTED

solution ni kulifumua battery kisha kulicharge kisha kulisuka upya though unaweza jaribu some drivers issue pia huwa zinasababisha hiyo issue ya memory loss kwa battery

case ii: hii ni damage au depletion ya electrolytes katika battery au kuharibika kabisa kwa circuit ya batteru

solution: nunua battery mpya maana gharama za kuanza kununua zile cells ni almost sawa na kununua battery jipya

hii ndo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lenevo touchpad, ilizima yenyewe tu. Ukiwasha inawaka ila display haioneshi, cuz nasikia feni inazunguka na ina vitaa flani vinawaka kuonesha imewaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
nadhan umemaanisha lenovo thinkpad,

hapo kuna issue nyingi ila issue ya kwanza na basic unaweza kuifanya ni

1.toa battery chomoja chaja kisha bonyeza batan ya kuwasha kwa sekunde zaidi ya 45,,,, inasaidia kuondoa static charges kwenye 3.3v power rail na sehem zingine za motherboard

isipowaka unakuja na hatua namba 2

2. fungua mfuniko wa nyuma toa ram zifute kisha futa na matundu yake kisharudishia

3. chomeka kioo cha nje pia ili ku narrow down tatizo hii itasaidia kujua pakuanzia kama hizo hatua 2 za hapo juu hazijafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kama huwa haushutdown bali unahibernet kwa muda mrefu nadhan ulikuwa unakosea

ukihibernet the current state ya pc inahamishiwa kwenye hard disk ili ukija kuwasha irud pale pale, sasa kuhibernet hakujawekwa kwa ajiri ya kuiacha computer kwa muda mrefu

ukiiacha computer kwa muda mrefu katika hibernation mode tena computer isiyotunza chaj maana yake ni kwamba unapoiwasha tena inapata shida ya kumemorize ile last configuration ambayo nadhan huwa inapata shida ya kureverse kutokana na lost power hasa kama na bios battery pia ikiwa ishaanza kupoteza power yake maana hii battery hasa ndo huwa ina deal na boot memory

kwa ushauri kama unajua utatumia pc mbele kwa zaid ya siku moja we izime tuu kabisa

ila kama unajua unazima usiku na kuwasha asubuh we hibernet haina shida, ila pia kumbuka kuirestart mashine kama umehibernet mfululizo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu.
 
Karbu sana

Pirate
Mkuu PC Yangu Dell Kasa yake haifanyi baada ya Jamaa niliyempelekea Kupiga Window Chini na sasa natumia Window 8 ila haifanyi kazi mpaka natumia Mouse. Msaada tafadhali kama tatizo linatatulika!
 
Habari zenu wakuu!!

Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.

Karibuni sana wakuu

Pirate
nawezaje kujua pc nzur maana nna mpango wa kununua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
inaweza kupona na pia inaweza isipone inategemea na case yake

case 1: memory issue
kwenye battery kuna circuit inayokumbuka na kufanya mawasiliano na cells za battery, ikitokea tatizo hapo memory huwa inasahau cells ama inashindwa kudetect battery level

dalili yake kubwa ni : PLUGGED IN BUT NOT CHARGING,
NO BATTERY DETECTED

solution ni kulifumua battery kisha kulicharge kisha kulisuka upya though unaweza jaribu some drivers issue pia huwa zinasababisha hiyo issue ya memory loss kwa battery

case ii: hii ni damage au depletion ya electrolytes katika battery au kuharibika kabisa kwa circuit ya batteru

solution: nunua battery mpya maana gharama za kuanza kununua zile cells ni almost sawa na kununua battery jipya

hii ndo

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha """255% Available (plugged in)""" Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha Hizo asilimia 255%, Nimejaribu Kuupdate driver Lakini imeshindikana Na Pia Nina Betri mbili moja Ni mpya Kabisaa lakini nikiweka Betri Inasema *System can not charge this battery*
Wakati ndo bettri la Dell na Nikaamua Kuchukua Replacement battery Nalo bado, Lakini pia Mda Mwingine ukiweka Betri linawaka ila ile asilimia Bado ipo hvyo hvyo *255%* na Hapo ikiamua Inaweza Ikazima gafla..
kubwa Zaidi Nikiitumia Laptop direct yani bila Kueka Betri asilimia Ya *255%* huw inakuwepo ila Laptop haizimi....
hvyo Naomba Unisaidie kujua
-Hii *255% Available (plugged In) Husababishwa Na Nini na Utatuzi wake
-Kwanini niwekapo betri Pc huzima haijalishi umeweka Jipya au la Zamani.

Asante.
NB.Sory kwa Kuelezea Sana, Ila naamini umenielewa
 
nadhan umemaanisha lenovo thinkpad,

hapo kuna issue nyingi ila issue ya kwanza na basic unaweza kuifanya ni

1.toa battery chomoja chaja kisha bonyeza batan ya kuwasha kwa sekunde zaidi ya 45,,,, inasaidia kuondoa static charges kwenye 3.3v power rail na sehem zingine za motherboard

isipowaka unakuja na hatua namba 2

2. fungua mfuniko wa nyuma toa ram zifute kisha futa na matundu yake kisharudishia

3. chomeka kioo cha nje pia ili ku narrow down tatizo hii itasaidia kujua pakuanzia kama hizo hatua 2 za hapo juu hazijafanikiwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejaribu mkuu kwa siku kadhaa imegoma kabisa. Ukiiwasha ukicheki GPU ukiigusa inakuwa inapata moto, inakuwa inaongezeka tu joto.

Katika maongezi na mdau mmoja kitaa, kaniambia hapo hamna namna ni kubadili body ya ndani (Motherboard).

So kama kuna mtu ana Lenovo Thinkpad may be mbovu ila body yake ya ndani nzima, please anicheki tufanye manuva.

Santee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Natumia Dell Insparion tatzo lake ni kuonyesha """255% Available (plugged in)""" Kwenye Icon ya Betri kwa lugha Nyepesi Kwenye alama Ya Betri badala ya Kuonyesha inachaji na Asilimia Zake ndo inaonyesha Hizo asilimia 255%, Nimejaribu Kuupdate driver Lakini imeshindikana Na Pia Nina Betri mbili moja Ni mpya Kabisaa lakini nikiweka Betri Inasema *System can not charge this battery*
Wakati ndo bettri la Dell na Nikaamua Kuchukua Replacement battery Nalo bado, Lakini pia Mda Mwingine ukiweka Betri linawaka ila ile asilimia Bado ipo hvyo hvyo *255%* na Hapo ikiamua Inaweza Ikazima gafla..
kubwa Zaidi Nikiitumia Laptop direct yani bila Kueka Betri asilimia Ya *255%* huw inakuwepo ila Laptop haizimi....
hvyo Naomba Unisaidie kujua
-Hii *255% Available (plugged In) Husababishwa Na Nini na Utatuzi wake
-Kwanini niwekapo betri Pc huzima haijalishi umeweka Jipya au la Zamani.

Asante.
NB.Sory kwa Kuelezea Sana, Ila naamini umenielewa
hapo kama unasema umetumia battery mbili na bado tatizo lipo

kulingana na maelekezo kwamba hata pasipo na battery bado inaonesha 255

then hapo tatizo linaweza kuwa system yako unayotumia, ili kujiridhisha rejea tatizo lako lilianza lini je ni kabla ya kuweka hiyo windows lilikuwepo au baada ya kuweka windows

kama tatizo siyo system bhas inaweza kuwa hardware, ambapo kwenye motherboard kuna kitu kinaitwa SIO chip (super input output chip) hii inahusika sana na kuwasiliana na battery la computer, hii ndio inayocontrol battery percentages, ss panaweza kuwa na shida hapo kati kati

ila hiyo ni hatua ya mwisho kabisa na ni rare sana kutokea

rudia kufuatilia haya kwanza kabla hujawaza hayo ya SIO
-run pc katika safe mode
-update windows complete
-run linux os kwenye mashine yako
-badirisha battery zaid ya hizo

fanya hayo kisha tupe mrejesho tuone tunasaidiaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimejaribu mkuu kwa siku kadhaa imegoma kabisa. Ukiiwasha ukicheki GPU ukiigusa inakuwa inapata moto, inakuwa inaongezeka tu joto.

Katika maongezi na mdau mmoja kitaa, kaniambia hapo hamna namna ni kubadili body ya ndani (Motherboard).

So kama kuna mtu ana Lenovo Thinkpad may be mbovu ila body yake ya ndani nzima, please anicheki tufanye manuva.

Santee.

Sent using Jamii Forums mobile app
unapatikana mkoa gani

kukimbilia kubadirisha motherboard kabla ya kufanya general diagnosis ya board nzima inaweza kukugharimu sana

nimeshapokea kesi nyingi unakuta ni issue tuu ya ceramic capacitor imeungua ila mtu anashindwa kuispot kutokana na kutokuwa na general knowledge ya power sequence ya laptop

taja aina exactly ya model yako kama utakuwa umefikia hatua ya mwisho ya kuhitaj motherboard

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom