Tatizo lolote la PC/device

kama inaunguruma sana ni mambo mawili lakin kwa haraka haraka, nadhan fanya kuisafisha itakaa poa

au ram imeshort, au processor imekufa

isafishe kwanza then unaweza fanya mengine zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pc aina Toshiba R930 inagoma kuconect hdmi to flat sijajua shida natumia window 10 pro

Sent using Jamii Forums mobile app
swali namba moja
je una uwezo wa kupunguza na kuongeza mwanga kwenye laptop yako???

swali namba mbili
ukiplay videp haziwi pixeleted yani kama inascratch hivi???

kama hayo mswali majibu yake ni ndio bhasi fanya uka update driver ya graphics na itakubali ku display kwa hdmi


lakini pia bonyeza button ya windows na heruf p kwa pamoja kisha chagua duplicate inawezekama imesetiwa kwenye primary display only

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swal number moja
Kupunguza na kuongeza siwez


Swal no 2
Haijawah kuscratch labda video yenyewe iwe na shida

No 3
Window button + p keys inaleta jibu
Your PC can't project to another screen,try reinstalling the driver or using different video card

Still nahitaj msaada wako ka unaweza kunielekeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hewalaah sasa hapo inabid uupdate driver ya graphics tatizo litaisha na utakuwa na uwezo wa kuconnect kwenye tv yako

pia kwenye tv yako kumbuka kubadirisha source iwe HDMI .



Sent using Jamii Forums mobile app
 
PC yangu baazi Ya key pad hazitokei

Kwa nilivyokuelewa unamaanisha keys za keyboard azitokei, tatizo la keyboard uwez kubadilisha key moja moja ni lazima ubadilishe keyboard mpya, so unaweza kwenda kwa fundi au ukaamua kuifunngua kisha ukaenda kununua mwenyew na kubadilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…