Tatizo lolote la PC/device

Nina HP ProBook 650 G1.

Imekufa battery, motherboard.

Nauza, mwenye offer yake.

Au auzaye motherboard anicheck.
 
Fujitsu t series nikiichaji inaishia 60% haijai zaidi ya apo
 
Pc yangu ni HP ProBook 6360b ninatumia OS ya Windows 7 Professional.... Sasa Pc Inakua inajiwasha yenyewe pindi tu nikichomeka chaja yake (lakini betri yake ilishakufa), na pia wakati ninapoizima (shut down) yenyewe inajirestart badala ya kuzima. Je hapo tatizo nini?
 
Mkuu Msaada hapo Juu
 
Swali je inapoteza majira? Saa na tarehe namaanisha kama ndio jibu weka CMOS battery iliyopo imekwisha na tatizo litakwisha imediate.
 
Button za pic hazifanyi kazi esp right click matibabu ni nn...
Natumia HP
 
Swali je inapoteza majira? Saa na tarehe namaanisha kama ndio jibu weka CMOS battery iliyopo imekwisha na tatizo litakwisha imediate.
Majira haipotezi hata kama nikitoa hii battery iliopo na kuirudisha tena bado majira yakuapoa tuu
 
hiyo inawezekana kuwa wake up on ipo kwenye BIOS

pc yako inapowaka bonyeza
F10

ADVANCED > BIOS POWER -ON

then disable zote kama zipo enabled.

kama solution hii ya kwanza aitofanya kazi update BIOS version.
 
Button za pic hazifanyi kazi esp right click matibabu ni nn...
Natumia HP
sijajua hp gani, ila iyo ni mouse na tatizo unaweza kuifungua kisha usafishe mouse pad, kama ikigoma basi nenda kwa fundi akubadilishie.
 
Ndugu zangu je nnaweza kufanya pc hdd partition ikiwa tayar ishapigwa window na inafanya kazi
 
MSAADA TUTANI.
kwa bahati mbaya juzi kati nimejikuta nime-format local disc D ya pc yangu ambayo nimehifadhi vitu vyangu mbalimbali muhimu mnooo, naomba msaada wa namna yakurudisha kwa yoyote anayefahamu.

Natangulisha shukrani.
 
mkuu ngoja wajuzi waje wakupe muongozo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…