MSAADA TUTANI.
kwa bahati mbaya juzi kati nimejikuta nime-format local disc D ya pc yangu ambayo nimehifadhi vitu vyangu mbalimbali muhimu mnooo, naomba msaada wa namna yakurudisha kwa yoyote anayefahamu.
Natangulisha shukrani.
Ndiyo inawezekana. Tumia minitool partition. Ni freeNdugu zangu je nnaweza kufanya pc hdd partition ikiwa tayar ishapigwa window na inafanya kazi
Asantee sanaa mkuuRudisha picha, video, music, pdf, doc zilizofutwa kwenye hard disk, computer, flash drive au memory Card
Hii ni njia rahisi itakayokuwezesha kurudisha data zako kama vile video, photos, music, pdf n.k zilizofutwa kwa bahati mbaya au kuliwa na virusi kwenye computer, hardisk, flash drive au memory card Kama data zako zimefutika baada ya kupiga windows pia utaweza kuzipata Muhimu kama data zako...www.jamiiforums.com
Uko Wap? Naomba Pia Kama Hutojal Niambie Model Ya Hiyo PC Au Picha Sake PMMkuu mie nina Lenovo ideapad z580 imevunjika maeneo hayo hinge moja imevunjika pia upande wa cover la juu na chini panaposhika hinge pameharibika mno natafuta housing au namna ya kuweza kurepair hiyo issue naomba kama sio wewe basi recommend fundi unaemwaminia.
Tshs Ngap Bro? Na Uko Wap? Naweza Fix Hiyo Motherboard Kama Bado Unahitaj PC YakoNina HP ProBook 650 G1.
Imekufa battery, motherboard.
Nauza, mwenye offer yake.
Au auzaye motherboard anicheck.
CMOS Battery Boss Imekufa Au Haipo! Badili TuPc yangu ni HP ProBook 6360b ninatumia OS ya Windows 7 Professional.... Sasa Pc Inakua inajiwasha yenyewe pindi tu nikichomeka chaja yake (lakini betri yake ilishakufa), na pia wakati ninapoizima (shut down) yenyewe inajirestart badala ya kuzima. Je hapo tatizo nini?
Ndio Kuna App Zinafanya Hiyo Kama Hujui Kutumia CMD, Zitafute Zinaitwa Partition Master Zipo Aina Nying Ukikosa Nitafute Nikupe Crack FreeNdugu zangu je nnaweza kufanya pc hdd partition ikiwa tayar ishapigwa window na inafanya kazi
Ushafanikiwa?? Kama Bado Nitafute Ila Uwe Na MB Za Kutosha Tufanye Hili Zoezi Remotely FreeMSAADA TUTANI.
kwa bahati mbaya juzi kati nimejikuta nime-format local disc D ya pc yangu ambayo nimehifadhi vitu vyangu mbalimbali muhimu mnooo, naomba msaada wa namna yakurudisha kwa yoyote anayefahamu.
Natangulisha shukrani.
Ni Trojan Gan? Anaifanya Nin PC Yako? Eg: Anatengeneza Shortcut, Ana Hidden Files EtcTrojan anatolewaje kwenye win 10
Niko Dar, budget yako ikojeTshs Ngap Bro? Na Uko Wap? Naweza Fix Hiyo Motherboard Kama Bado Unahitaj PC Yako
Pesa Sema WwNiko Dar, budget yako ikoje
Ndio Kuna App Zinafanya Hiyo Kama Hujui Kutumia CMD, Zitafute Zinaitwa Partition Master Zipo Aina Nying Ukikosa Nitafute Nikupe Crack Free
Sijajua motherboard inapatikana kwa kiasi gani + ufundiPesa Sema Ww
Siyo lazima ku-update. Na haina athari yoyoteMsaada,mimi ndo nimemiliki PC soon. Nimewekewa window 10. Swali langu ni kuwa kila mara napewa notification ya kuapdate hiyo window ila mimi siruhusu kwasababu mb kuwanazo chache. Vilevile hata programm ya Microsoft word 2019 pia indai kuapdeitiwa. So kuna athari yoyote ya kutoapdate hizo programm. Kama hakuna athari nifanjyeje nisiwe naletewa hizo notification?
Ndugu nimerudi tena kuomba msaada zaidi,Rudisha picha, video, music, pdf, doc zilizofutwa kwenye hard disk, computer, flash drive au memory Card
Hii ni njia rahisi itakayokuwezesha kurudisha data zako kama vile video, photos, music, pdf n.k zilizofutwa kwa bahati mbaya au kuliwa na virusi kwenye computer, hardisk, flash drive au memory card Kama data zako zimefutika baada ya kupiga windows pia utaweza kuzipata Muhimu kama data zako...www.jamiiforums.com
Bado sijafanikiwa mkuu, kama utakuwa na nafasi kesho muda wowote nitakuwa freeUshafanikiwa?? Kama Bado Nitafute Ila Uwe Na MB Za Kutosha Tufanye Hili Zoezi Remotely Free
Ni check pm nikupe license key ya mojawapoNdugu nimerudi tena kuomba msaada zaidi,
"Hetman data recovery" hii inahitaji license key kabla hata haujaitumia
Na kutumia "Minitool" nimefanikiwa ku recover GB1 hapo ndo mwisho wa free version na inahitaji license keys ili niweze kuendelea zaidi.
Naomba msaada zaidi
Asante sanaSiyo lazima ku-update. Na haina athari yoyote