Habari wakuu.Habari zenu wakuu!!
Nimeanzisha uzi huu tusaidiane kwenye matatizo yoyote yanayohusiana na technology kwa ujumla, kwa mtu yeyote ambae ana tatizo na ambaye anaweza kumsaidia mtu tatizo LOLOTE linalohusiana na computer, simu (zaidi smartphone) au devices zozote ambazo zinahusiana na teknolojia mpya.
Karibuni sana wakuu
Pirate
Printer zinakuwa na wino mweusi na wa Rangi, pengine wino wa Rangi umeisha?Habari wakuu.
Naomba msaada, printer yangu ya Epson L382 haiwezi print colored. Nimeinunua hata mwaka bado haujakata. Nipo Dar es salaam
Jaribu kwenda setting ama control panel tafuta printer yako Kisha right click Kisha properties kama kuna setting unaweza badili. Grayscale ndio hio black and white.Wino uko full color zote, sijui shida iko wapi?
Mkuu unamaanisha feni inazunguka Kasi Sana au inazingua???Nina laptop yangu dell latitude kila nikiitumia feni inazingua Kwa Kasi na matokeo yake inachemka sana na kujizima nimejaribu kubadili feni pamoja na heat sink lakini bado inasumbua tatizo ni nini wakuu?
Ulifanikiwa kuipata ? Tuma picha kama badoPc yangu ilikuwa ya plastic, imevunjika house take Ila unapiga kazi Kama kawaida, je bei ya housing mpya sh. Ngapi kwa anayejua?, Pc ni Lenovo ideapad100
Ulipotoa heatsink uli apply thermo paste/ compound ?Nina laptop yangu dell latitude kila nikiitumia feni inazingua Kwa Kasi na matokeo yake inachemka sana na kujizima nimejaribu kubadili feni pamoja na heat sink lakini bado inasumbua tatizo ni nini wakuu?
Unajaribu kufuta vitu gani, Apps au files?Kama kuna vitu kwenye simu ukivifuta havifutiki unafanyaje?
Hizo alphabet zore zipo ok umetest? Kama Hiyo ni mini keyboard , jaribu ku bonyeza NUM Lock kisha ndio ubonyeze upande wa nambaMsaada wakuu..pC yangu number za kwenye keyboard hazifabyi Kazi..Ila alphabet ziko okey ..shida inaweza kuwa nini..natumia HP
Downloaded files.Unajaribu kufuta vitu gani, Apps au files?
NdioUlipotoa heatsink uli apply thermo paste/ compound ?
Vymbi, safisha na air compressorLAPTOP YANGU INA MIEZI NANE TU, BAADHI YA BUTTONS ZA KEY BOARD ZIMEACHA KURESPOND, MPAKA URUDIE KUCKLIC MARA YINGI SANA, JE NINI SHIDA?
Clear ram, restart simu jaribu tenaDownloaded files.
Na hizo files ukijaribu zifungua zinagoma
OK THAKS ALOT!Vymbi, safisha na air compressor
Alphabet ziko sawa..shida iko kwa namba za juu ya alphabet hazifanyi Kazi...pamoja na namba za pemben zile za pembeni ya alphabet ,japo hizi za.pemben Kuna siku zinafanya Kazi,Kuna siku hazifanyi kabisa .Hizo alphabet zore zipo ok umetest? Kama Hiyo ni mini keyboard , jaribu ku bonyeza NUM Lock kisha ndio ubonyeze upande wa namba